nakuja niko njiani nyumbani kwenu shakalibia nikifika uwe tayari usichelewe kasubiria fanya bridge,fanya utaratibu na uwe tayari mapema chorus,nataka tutoke wote leo mama jiandae i love mama.2nd verse,ushanilewesha kwa penzi lako uliloniochesha kwako shatosheka kwa mwingine sitokopesha dawa ya homa sindano maradhi yako yatatibika na dawa ya penzi msimamo upendo wetu hautofunjika usiniache ache mumy moyo wa utautonesha penzi letu la chumbani lizidishe siku na masaaa bridge, chorus. ... Read More...
Share