Sielewi

Project: - Sielewi
Artist: - Man S Featuring H Kubwa
Kiitikio
Tuyasahau yote yaliyopitagaa, pitagaaa
Na tutazikwa wote ulivyosemagaa, semagaaa
Kipindi hicho maisha yalikuwa matamu tamu
Sasa vitisho siku hizi hauna nizamu zamu ×2
Verse 1
/> Ni kikuliza majibu ya kuropokaa
Mpaka nawaza sababu umemichokaa
Mmmh Nikikuliza unanijibu unavyojisikiaa
Mpaka najuta bora nisingekuoaa
Umebadilika siku hizi hueleweki
Bila kosa unakasilikaa, kwanini…
We umebadilika siku hizi hueleweki
Kila saa unakunja ndita, kwanini…
Bridge 1
Sieliwiii, we dada
Sieliwiii, we mama ×2
Kiitikio
Tuyasahau yote yaliyopitagaa, pitagaaa
Na tutazikwa wote ulivyosemagaa, semagaaa
Kipindi hicho maisha yalikuwa matamu tamu
Sasa vitisho siku hizi hauna nizamu zamu ×2
Verse 2
Shemeji sikia Man S analiaaa
Alikuja nyumbani kunielezaa
Unayo Mfanyiaaa
Moyo wangu unaniumaaa
Ungefanyiwa wewe
Maamuzi gani ungefanyaaa
Bridge 2
Kisa mshiko umemkimbiaaa ×2
Ona shemeji yako nimejiinamia
Kwa sababu mwenzako nimeshakuzoea ×2
Nimejiinamiaaa
Nimeshakuzoeaaa ×2
Kiitikio
Tuyasahau yote yaliyopitagaa,
Na na tutazikwa wote ulivyosemagaa,
Kipindi hicho maisha yalikuwa matamu tamu
Sasa vitisho siku hizi hauna nizamu zamu

Tuyasahau yote yaliyopitagaa,
Na tutazikwa wote ulivyosemagaa,
Kipindi hicho maisha yalikuwa matamu tamu
Sasa vitisho siku hizi hauna nizamu zamu

...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.