Life ya ghetto

Life ya ghetto, hard-core
Life ya ghetto, niko hustle
Life ya ghetto, msoto he.. X2
Verse
Msoto hadi joto, kuhustlia mama na watoto, sije vizazi vikakumbwa na moto, nahaya Maisha ya ghetto,talanta itaondoa ghetto to Palace, pasipo na joto, full dream full ndoto, simaisha kunicheka ukiona mkokoteni nasukuma, ama nikilasima na sukuma, bado still simaisha na ya sukuma, nashukuru mola kilatime na asubuhi, wakati mambo mazuri, nacheki napumua tena vizuri, sina hata ubishi, na haya maisha ya ghetto,nikipata masikani, popote najichaganya, nashukuru nikipata nikikosa nitalala Si unajua maisha yalivyo ndani ya ghetto, hivo hivo ndivyo Ilivyo aosiyo
Chorus x2
Haya maisha, sije wengine Yakatutisha, kwenye life Kuna mazuri na mabaya siku ikisonga uko macho Bali kushukuru mola simaisha kuzozana nisisi ndugu sisi tupendane (sote wamoja kitukimoja yanitu-soilder na ghetto na ghetto life tusitegani..,)
Chorus x4
Haina manakubaguana sote wamoja damu moja ama vipi tuzidikuwa pamoja nine came nahii hisia kukwabia sote wamoja ...

Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.