Nalia

VERSE
Yako maneno yajirudi kichwani, chako kicheko kina nitisha kizani,
kile kilio cha nikumbusha chumbani, japo sasa haupo tena nami,
wema wauzima wako upendo wa uhai wako,
naya kumbuka yako matani uliyo penda nitania chumbani,
natamani niweze kuwa natamani niweze kuwa nawe,
mabaya yako ayazidi mema yako hukumu yako haifanani na kosa lako,
majuto mjukuu sasa namlea asila hasara sasa naangamia
COLAS
Nalia nalia nionapo picha yako, Picha yako
nakosa raha nikukumbukapo, Nikukumbukapo
japo kosa nila kwako nila kwako, Nila kwako
alilingani na hukumu yako, Hukumu yako
verse
Huwa nalia nionapo picha yako, najutia kwanini nilikukimbiza ghetto
najua nimekosa na hukuma niliyo kupa haiendani nakosa
hakuna asiye kosa hata binadamu wa kwanza halikosa
baby please come back nime kumiss
nimegundua hasila zangu ndo zime ni cost
sometime zina kuwa kama ghost
wema wauzima wako upendo wa uhai wako
naya kumbuka yako matani, uliyo penda nitania chumbani
natamani niweze kuwa natamani niweze kuwa nawe
COLAS
VERSE
Yake shuka nnjee ndani, langu gereza kutwa ndani
yako sanda kwako chini, chake kitanda chako jeneza
langu gereza siku zajisogeza halikuwa kusudio langu
halikuwa dhumuni langu, uliteleza mkono wangu
sheria ni msumeno ukata uku na kule
(pale na pale wale na wale ) x2
Maandishi tuliyoandika yamefutiaka
Kamba tuliyoishika imekatika watoto nyumbani waanza taabika
(Mizizi iliyo washika imewaacha ) x2
...

Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.