Kuhusu Ukimwi Tubadilishe Tabia

Wimbo: Kuhusu Ukimwi Tubadilishe Tabia
Msanii: Andy Ndomondo & Mbande Kinyo
Studio: Tac - Tic Rec
Producer: Mbande Kinyo
Mtunzi: Andy & Kinyo
Muongozaji: Andy & Kinyo
Contacts: +255 752 778 815
E-mail: andyndomondo86@gmail.com
Intro
Iyeeeh! Oohoo! VVU VVU
Verse 1
Mambo mengi twafundisha
Kuhusu VVU twakwambia aah!
Ieheee Oh!
Tuanze neno tabia
Matendo pia mwenendoooo oh
Tubadilishe tabia mwenendo ooh
Utandawazi ndio chanzo
Tweeter na Facebook uuh!
Uuoohoo ndugu yangu wee
Bora tumia kondomu weeh!
Bora utumie kondomuu, Ukivurugwa wewe
Bora utumie kondomuuu yeyeye eehhh!
Ndugu yangu badilisha tabiaa ah!
Chorus
Tubadilishe tabia (Badilisha tabia wewe weee)
Tubadilishe tabia (Dada wee Kaka Wee)
Tubadilishe tabia (Badilisha tabia yakooooh)
Tubadilishe tabia
Verse 2
We mwanaume wewe hakikisha unavaa
Kondomu kwa umakini yeyah mhh!
Na pepeta kwa mwanamkeh ooh ni muhimu eeeeh!
Mmmh! Vaa ipasavyo
Msivae kwa pamoja
Matumizi ni sahihi kuvaa mmoja
Vaa ipasavyo
Msivae pamoja
Weee weewe ndugu badili tabia eeeeeeh!
Chorus
Tubadilishe tabia (Tubadilishe tabia)
Tubadilishe tabia (Wewe mimi tubadilike)
Tubadilishe tabia (Tubadilike ooyeah!)
Tubadilishe tabia (Acha mtandao utakufa wewe Virusiii)
Verse 3
Wanawake wanawake ninyi
Chukueni tahadharii
Mu warembo wanawake, mnaamsha tamaa
Jiheshimuni, ooho
Kama mimba imenasa, nenden nyote wawili
Nendeni kiliniki wote wawili
Tuwakinge watoto, janga hili linauaaa aah eeh
Tubadilishe tabiaa aah!
Chorus
Tubadilishe tabia (Badilisha tabia wewe)
Tubadilishe tabia (Badilisha tabia kaka, dada)
Tubadilishe tabia (We mama. We baba nasemaa)
Outro
Tubadilishe tabia (Wanafunzi wote)
Tubadilishe tabia (Wafanyakazi nanyi)
Tubadilishe tabia (Uuuh ah! Wanachama wote)
Tubadilishe tabia (Kwani sisi ni watarajiwaa)
Tubadilishe tabia (Sio kesho hata leo wewe)
Tubadilishe tabia (Usijidai unajua hili janga linaua)
Tubadilishe tabia (Uhh! Tubadilishe tabia)
Tubadilishe tabia (Tuubadilike! Tuubadilike)
Tubadilishe tabia (Mimi wewe ndugu uh! Yeah)
...

Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.