Yelele

Chorus
Penzi lakooo kwangu dawaaa
Mi ni wakoo usije pagawaaaa
Penzi lakoooo kwangu dawaaa
Mi ni wakooo usije pagawaaaa
Yelelee Yelelee Yeleleeee
Yelelee Yelelee Yeleleeee
Yelelee Yelelee Yeleleeee x3 Aaaah
Verse 1
Uko lead mama napenda kukuonaa, najisikia rahaa.
Una vigezo vijaa ukinipaga mahaba, napataga rahaa.
Mie kwako nimetulia maa, kwa muganga usiende dada.
Ukiniroga utanichanganya, hata kazi nitashindwa kufanya
Mie kwako nimetulia maa, kwa muganga usiende dada.
Ukiniroga utanichanganya, hata kazi nitashindwa kufanya
Chorus
Penzi lakoo kwangu dawaaa
Mi ni wakoo usije pagawaaaa
Penzi lakoooo kwangu dawaaa
Mi ni wakooo usije pagawaaaa
Yelelee Yelelee Yeleleeee
Yelelee Yelelee Yeleleeee, mamaa
Yelelee Yelelee Yeleleeee x3 Aaaah
Bridge
Penzi ni kamali nani asiyejuaa
Tena nia ajari na linauaa
Penzi ni joka mwenye sumu kali
Tena ni atai sana na yenye kuuaa
Nakupenda sana mwenyewe unajua
Hakuna mwingine tena wakunizuzua
Aaaaaaa darling Aaaaaaaa mpenzi
Aaaaaaa darling, wewe darling
Aaaaaaaaaaa, Aaaaaaa
Verse 2
Unajua pumuzi yangu ni wewe, umejaa pande zote mwenyee.
Una upendo wa dhati maa, tabia nyema na hekima aah.
Tabasamu si simi mama, dimpozi zako najisika raha.
Ki ukweri uko safi mama, haki nani tunaendanaa.
Utaniuaa wewe.
...

Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.