My Africa


Vers 1
Unasikika kwa urembo na uzuri.
Wewe ni mkarimu na siyo kiburi.
Ndiyomana nimefika kwako nipate kivuli.
Niweze pumzika na nisonge na safari.
Baada ya mionzi ya jua kali kutuwama.
Najuwa wengi wanakuundia vama.
Amini kwako nimefika kubaki nawewe nahasika ndani yako naburudika.
Ninapo simama kwenye mlima kilimanjaro na kutazama zako nyika.
Ama kweli nahuzunika
una utajiri mwingi usioisha wala filisika.
Wageni wengi hujakwako kwa kumiminika.
kuja kushangaa njinsi gani ulivyoumbika juu na chini ama kweli umekamilika.
Ukweli ni kwamba umeumbika kiumakini.
Japoumezungukwa na maadui sijui kwanini.
Ambao ni vita,njaa,maradhi na umasikini.
sijui vitaisha lini.
Ila amini cku moja utafika juu wewe usiopenda makuu.

HOOK
Africa ni yako
Africa ni yangu
Africa ni yetu
Sisi ni wafrika..
Tuliobaki kwenye hii black continent
Black beautifull pleces
Africa ni wewe
Africa ni mimi
Africa ni sisi
African boys African girls
Now your history..

VERS 2
Hebu tazama magharibi mashariki.
Nawaona wanaounga urafiki.
Wengi ni wanafiki.
Wanao turetea zao tamaduni.
Zakwetu wakisema za kihuni.
Zaubunifu wakizitia kapuni.
Umeaminika wewe ndiye mwenye thamani katika sayari hii.
Wapo wengi wasiopenda kuona unafurahi.
wanaokuja kwako kujipatia masilahi.
Nakwenda kwao kujidai kufurahi.
Jinsi gani walivyo kulaghai.
Nakusii uwendelee kujituma.
Ili kuchuma mema ya kunufaisha uma.
Nguvu kazi yako haina ndoto yakubaki kwako.
Nakuomba uwape harakati na michakato yako.
Waelewe kwanini wapo kwako.
Bora ungebaki na kingdoms zako.
Kuliku walivyokuletea siasi.
Siasa zao za anasa na propaganda za kukunyanyasa.
Zakuondoa ukoloni na kuleta utumwa wa falsafa.
Ambao ni ubabyron na siasa.

HOOK
Africa ni yako
Africa ni yangu
Africa ni yetu
Sisi ni waafrika..
Tuliobaki kwenye hii black continent
Black beautyfull pleces
Africa ni wewe
Africa ni mimi
Africa ni sisi
African boys African girls
Now your history.. x3

MY AFRICA
...

Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.