Mbeya

Artist_Prota The Boss 2B
Truck_Mbeya
Editor_Nguku Wa Midundo
Intro:
Hellow people
This guy infront of you
Known as Prota The Boss 2B
Gona tell you short story
About Mbeya city
Piga keleleeeeeeeeeeeeee
Verse:
Mgeni karibu
Karibu jiskie upo nyumbani
Nyumbani Mbeya city
Mbeya city ni jiji la kijani
Jiji la amani
Japo sometimes hakukaliki
Maandamano flani
Wakina flani wana regret
Ila jua
Ukweli huku kwetu tamaa mwiko
Kula kwa macho
Kwa maana ukiiba unachomwa moto
Na ukishobokea
Mabodaboda unakuwa kilema
Ukiwa mchawi
Ndo kabisa unazikwa unahema
Alafu pia
Kuna michepuko ya kutosha
Oa demu mzuri
Akienda sokoni unapata presha
Kipindi cha mvua
Huwa kuna kero kibao
Pita valu chocho
Ili upigwe tero za mbao
Usithubutu
Kuzurula mishale ya night
Hata ukizurula
Basi kichwani vaa element
Ili wapiga nondo
Wagonge mwamba wasipige kichwa
Kuna wacheza ndondo
Mceez sambamba na wachora picha
Unapotimba dox
Basi kuwa makini na hizo simu
Waganga wa kienyeji
Wana mabango kila mstimu
Ukihesabu nyumba mbili
Jua ya tatu ni kanisa
Hasa jumapili
Kwenye kila kona kuna misa.
Outro:
Aagh..I’m not a guest
In home am best
God bless chile town,
Mbeya city, Tanzania
East Africa…
God bless and Africa
E.T.C…
...

Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.