Ningekua demu

NINGEKUWA DEMU
BIG JOFF ft H.D.N
VERSE I (BIG JOFF)
Nimekua, nishajua,natambua, nafikiri na nina upeo
Hadi mama ailienizaa anajua ni kidume wa leo
Sitaki kukufuru japo huu mtizamo wangu
Siko huru kama ningeumbwa na jinsia ya wenzangu
/>Ningeona dharau kuambiwa eti mama niaje
Unajionaje mechi yetu kitandani uliionaje
Sidhani kama bikini kama ingefit mwili wangu
Nipige simu kwa msela eti kisa sioni siku zangu
Naona drama watoto zangu wangeniata mama
Nilivyo rough hivi ni nani chumvini kwangu angezama?
Nipike vitumbua mtaani nishike fedha
Mama lishe tena bila kuwezeshwa nisingeweza
Ningekuwa demu kipi kingenifanya nipende?
Nakuja ghetto mzima na ninakufa kama mende
Unanikiss, unanikunja,unanikiss bila woga
Sio mimi niopanda sasa kivipi nachuma mboga
CHORUS (H.D.N)
Napata feeling if I were to be a girl
Napata feeling if I were to be a girl
Napata feeling if I were to be a girl
Ningefanywaje ?
Ingekuwaje ?
VERSE II
Japo kuna wakati nadhani ingekuwa ni raha
Ni watoto na wanawake wa kwanza ikifika njaa
Baba kwenye nyumba kichwa ningetulia mi naongozwa
Kwa mahaba ningeng’ata kucha kila nikitongozwa
Ningeitwa mamitoo niite babitoo
Niwe jabili kama salama iwe ni fimbo ya mabishoo
Japo ni mengi yangenifanya nijute
Kama kukaa na watoto mume wangu akatafute
Akirudi amechoka nguo zake nimfulie
Nimpikie, kanga moko nimvalie nimvutie
Nilale bila nguo nisingeitaka ndoa
Kwa story za labor nahisi kila mimba mi ningetoa
Nahisi ningekufa bikira
Hata ikichezwa mechi kitandani basi lazima mpira
Tigo namba nisingegawa
Kama nimetoka kwa ubavu hasa ya nini nidai haki sawa
REPEAT CHORUS
VERSE III
Ikipigwa Do-Me naambiwa kiuno kata mpaka chini
Njoo ghetto na gharama zote nalipia mimi
Mapedeshee nadhani ingekua fresh
Nijiweke kiherehere maana si lady is first ?
Sio dhambi ila hayo mawazo yangu
Ulimwengu mama sasa vipi kwa mzazi mwenzangu?
Baba yangu kaka yangu babu yangu
Hayo ndo mawazo yangu
...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.