(MC) Emcee

CHORUS:
EMCEE UKIPEWA KIPAZA
UTAFANYA NINI,
UTACHANYA NINI,
MBONA UNATAZAMA CHINI
EMCEE UKIPEWA KIPAZA
UTACHANA NINI,
UTAFANYA NINI,
MBONA UNATAZAMA CHINI
VERSE 1:
NABEND NA DREAD YUZZO NA BANDANA,
BADO NA MBAYA KAYA NACHOMA NASAKANYA,
HATA VITANI INASOMA SKILLS NAPAMBANA,
/>NDICHI NA USONGO CHONGO TUKIFATANA,
USIWE SNITCH HAKI NAILINDA SIFICHI,
MI MDADISI UOGA NILISHAU-DISS,
KAZI SERIOUS ULIZA
GHETTO TUNAYOFANYA,
KILA SHOW TAMASHA
MIPANGO INAFATANA,
KILA BARS PASSPORT
VISA ZINAPAMBANA,
UKISEMA SIMPLE
COOL UNDERGROUND NNAPOFANYA,
NASTICK TIK TAK HARDCORE
MPAKA KIAMA,
NAZUNGUSHA MISTARI
WEWE UNARIDHIKA,
UPANDE AFANDE ADATE
KA KIGOLI ALIYEFIKISHWA,
(EMCEE) KABLA NASEMA
HUJAKUNA KICHWA, NAKUHAMISHA,
ACHA MZAHA NA MAISHA
NAHAMASISHA,
KISASI HAKI KUSAMEHE
BUSARA NAKUMBUSHA.
VERSE 2:
MOJA MBILI NA TRAA
HUU WASAA SABABISHA,
VUSHA SUKUMA MANENO
YANAKUMBUSHA,
KUMWAIBISHA SORO
YULE MPENDA RUSHWA,
NAMWOMBEA SALAMA
KWA JAH WANGU PUSHA,
MAOMBI KWA MASHUJAA
RISASI WALIZOVUKA,
POLICE FREEZE MIMI
NDUKI NIKISHAZUSHA,
SIKIZA VERSE TAMBUA
NINI WAKILISHA,
360 DIGREE HAPA
MWALIMU ANAFUNDISHWA,
USHAHIDI DARASA HURU
UHURU UKISHAFIKA,
WATENGWA NILIPOTOKA
BENDERA NAIKITA,
KISHINDO KINACHOTOKA
NA CHIMBO NILILOTOKA
KOMZI D-WEE JCB
CHINDO NA BABA LUKA,
BONGOLAND KWELE CHAKA
UJUMBE SHIKA,
MANDOO MWAMBIE DONII
ARUDI KAMBINI HAA
INASIKITISHA.
...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.