FURAHA YANGU

(CHORUS)
NILI POTEZA FURAHA YANGU
OOOOH IMERUDI FURAHA YANGU
OOHHHH*5
(VERSE)BY ABUU
MWANZO FURAHA NILIKOSA
SASA NASHUKURU NIMEIPATA
KAMA AYUBU MATESO ALIOPATA
SASA NAIONA MITO YA BARAKA AAAHH
KWA YESU KUNANITOSHA MI NTAMTUMIKIA SITOCHOKA AHHH*2
(CHORUS)
NILI POTEZA FURAHA YANGU
OOOOH IMERUDI FURAHA YANGU
OOHHHH*5
(VERSE)BY ABUU
IMERUDI FURAHA YANGU AHHAAA
IMERUDI AMANI YANGU AHAAA
UMERUDI UPENDO WANGU AHHHAAA
AMERUDISHA MUNGU MUNGU
IIIHIIIIII FURAHA YANGUUUUUUU
(CHORUS)
NILI POTEZA FURAHA YANGU
OOOOH IMERUDI FURAHA YANGU
OOHHHH*5
(VERSE)BY ROSE
KAMA FURAHA NIMEPATA MIMI KWAKUWA YESU AMEIREJESHA AHAAA YEEEE
SINA TENA MACHOZI
SINA TENA KUTANGATANGA
KWAKUWA NAJUWA NIKO NA YESUUU
SINA TENA MACHOZI
SINA TENA KUTANGATANGA
KWAKUWA NAJUWA NIKO NA YESUUUUUUUU
(CHORUS)
NILI POTEZA FURAHA YANGU
OOOOH IMERUDI FURAHA YANGU
OOHHHH*5
(VERSE)
AHAAA KAMA KITABU CHA AYUBU SURA ILE YA KWANZA MSTARI WA KWANZA INAVYOSEMA
INAMUONGELEA MTUMISHI WA MUNGU AYUBU AMBAYE ALIKUWA NA MALI NYINGI ALIKUWA NA VITU VINGI
AYUBU ALIPITIA JARIBU AMBALO LILIKUWA KIPIMO CHA IMANI
CHAKE NA MUNGU
AYUBU ALIPOTELEWA NA KILA KITU
NA MALI ZOTE
NA HATA ILE FURAHA ALIOKUWANAYO HAPO AWALI NAYO ILIPOTEA
LAKINI BAADA YAKUWA MVUMILIVU NA KULISHINDA JARIBU LAKE HATIMAYE FURAHA YAKE ILI LEJEA
NDIVYO HIVYO ITAKAVYO KUWA KWAKO
NAJUWA UMEPOTELEWA NA FURAHA YAKO LAKINI LEO
WEKA TUMAINI
SIMAMA KWA IMANI
FURAHA YAKO HIYO INAKUSUBILI
BARIKIWAAA.............................................. ...

Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.