Extra time

inuka ulipo lala na usali kama nabii/ zenji na bara mistari nawanasiih /acha coken sambaza sana fasih /wanaizundua mitaa minaizindua jamii /dear hip hop unanilipa fadhila / wendio kilevi changu nisha lewa tila lila / mwepesi wakusahau shida / huuniukurasa wenye vituko sio adobe redar /wameirudisha sodoma kwenye aridhi ya babeli /angalia usitupe kipisi cha fegi sheli/viongozi wadanga nyifu hawa semi ukweli / sijatanda wazi kwenye mitandao ya kijamii / sina papa razi wala trakizangu hauzisikii /dady kalale pema maisha ya dunia yamegeuka kua sinema nakuishi sio gerentii /tungozangu sio sera za cuf na ccm / ukinikosa tweeter nisake instar na bbm /kila nnapo pita nabaki nature na hili game /sichochei vita natetea roho za marehem /nendeni mkalepema ndugu dada kaka / leo pesa juu ya sharia imekosa mipaka /rafiki itunze imani uitoe kama sadaka / hakuna anaetaka kungoka kwenye madaraka / ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.