Pendo Langu

PENDO LANGU Lyrics
GOODLUCK GOZBERT
Verse 1
Uhafifu Wa Mbalamwezi Haufanyi Usiku Kukwama,
Nina Mengi Ila Nimetunza Ndani,
Umevumilia Mengi Ujinga Wangu,
Na Ukasitiri Madhaifu Yangu,
Acha tu Nikwambie We Ni One In a Million,
Ulilia na Huzuni Yangu, Ukawa Mfariji Wangu,
Acha Tu Nikwambie Bora Nife mimi Unizike Wewe,
Bridge,
I Loved U (Yesterday)
Nitakupenda Sana ( Everyday)
Kwenye moyo Wangu
Kwenye Moyo Wangu
Chorus
Tazama X2 Machoni Uone,
We Ndo Pendo Langu, We Ndo Pendo Laa, We Ndo Pendo Laangu X2
Verse 2
Nikifumbua Macho Nakuona, Nikifumba Nakuota, Kumbu Kumbu Ya Ule wema Wako Ni Mihuri Moyoni Mwangu,
Na Nilipopatwa Maswahibu, Nikaleta Aibu, Bado Ulipigania Ule Upendo wetu, Hata Furaha Yetu,
Sijui Ninunue Nini kama Zawadi Yenye Thamani,
Amini U zaidi, ya Burudani,
Nikisema Nikuchagulie, Jina Zuri Nitakuita Malaika We,
Umefanyika Tabasamu La Mchana Usiku Sifa Mbaya Huna we,

Bridge
I Loved U (Yesterday)
Nitakupenda Sana ( Everyday)
Kwenye moyo Wangu
Kwenye Moyo Wangu
Chorus
Tazama X2 Machoni Uone,
We Ndo Pendo Langu, We Ndo Pendo Laa, We Ndo Pendo Laangu X2

Autro
Ou, Ow wow wouu
Even when Ur Far
I Love Ux2
We Ndo Pendo Langu
Artist_Goodluck Gozbert
Written By Goodluck Gozbert
Produced By Lollipop
Music Arrangement_Lollipop/Nusder
Recorded @Mini Sound
Dedicated To Janeth Gozbert
(c) 2015
_END_ ...

Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.