Sina cha kupoteza

SINA CHA KUPOTEZA – MARLEY ft BELLE9
Intro; (BELLE9)
Marley…….!! Be..be..Belle9…!!! Na Triss….!!! Yea yea yea yeah….!!!!
VERSE 1; (MARLEY)
Asante Mungu Marley bado naexist, japo sijawahi ku-settle kichwani ka’ middle east,
Thanks kwa hizi flow matatizo naya-resist, wote walionidiss wananisaka wanipe kiss,
Nina swagga za uhakika ndomana nawika, nataka niweke fika nilizaliwa juu ya spika,
Nikanyonya mic na brain ikapigwa mixing, cheki nanyoosha flag ni kavu haina cha bling bling,
Leo kimuziki mi ni star cheki na beat natambaa, my fans wanafuraha wakuda wanasema aah!!,
Mi nawa-bull shit, sitaki uzushi, wakidushi wakigushi mi naendelea tu kupush,
Mi huwa naghani mashairi sipati hewani, nina vocal za kizimbani siyo chumbani ka’ za Fulani,
Siyo fix ka’ ibilisi flow zangu zina hakisi, na ndani ujumbe delicious kama mnanda wa Triss,
Wakinidiss nacheka wanabaki wanatetemeka, kisha wazi naweka brain yangu ina double decka,
Napiga vichwa kama Zinedine mi ni mashine, naflow kivingine,
Bado nafanya michaka-chakato wanga niwazime, wasinipime,
Wakinipima wa-go wa-blow ninavyoflow nomaaaa!!!
Yote yanawezekana naimba na pia nachana, mistari naigeuza asali kama Yesu ndani ya Canna,
Mzuka toka kwa mama siyo pombe na marijuana, ukinizingua sikubutui nakupiga dana dana,
Nakuacha umechutama naibuka kila ukizama, Marley…………!!
CHORUS; (BELLE9)
(Am living in my own world)
Am living… am living… am living in…..
(Am living in my own world)
Sina cha kupoteza cause I don’t care,
(mi kama mimi)
Na kile ninachokiamini ndo kinatokea,
(Am living in my own world)
Sina cha kupoteza cause I don’t care,
(Am living in my own world)
VERSE 2; (MARLEY)
Juzi jana nilikuwepo na leo mi bado nipo, kwa uweza na nguvu zako natumai kesho ntakuwepo,
Na nkilala ndotoni naiona pepo, najua kazini ndo huko hapa duniani nipo tempo,
Napata kicheko wanga wakitega mitego, hawajui ulishanionesha wakati nimelala ghetto,
Kichwani nime-settle that’s why nakupa eko, wao wana akili fupi kama nguo basi kipedo,
Hawataki nivune wanataka daily nipunwe, badala ya kusonga mbele nirudi kinyume nyume,
Still naendelea kushinda sababu unanilinda, ni hatari hawanigusi cause mi ni gego la simba,
Umenikweza sa’ captain ndani ya dimba, ndomana nawafunika kurap hadi kuimba,
Shahidi ni spika nasikika ninavyowajibika, na jamii naona inashika yale yote ninayoandika,
Japo wa kitaa ila na church nahitajika, mistari ninavoinyoosha huwa ni mahubiri tosha,
Me different from dem, me need respect not fame,
And ama it to dem bwayz en dem gwans concerned,
Ni karatasi na peni, vinanifanya na-bang
For sure me renew me brain every now and then………!!
CHORUS; (BELLE9)
(Am living in my own world)
Am living… am living… am living in…..
(Am living in my own world)
Sina cha kupoteza cause I don’t care,
(mi kama mimi)
Na kile ninachokiamini ndo kinatokea,
(Am living in my own world)
Sina cha kupoteza cause I don’t care,
(Am living in my own world)
VERSE 3; (MARLEY)
Fram da bottom to tha top cause me born to shine,
Aight man loose ya brain cause am going for mine,
Siyo kwa fun ni kwa money tukamate line,
Thanks Jah nipo fine mi nazidi kurhyme,
Me diss none me no hate cause me rastaman,
Me ever dear every time cause me love me gwans,
Inna me mind me gat dem billions, me push harder to dem trillions,
Inna me mind me gat dem billions, dat why me push harder to dem trillions, yeah…..!!
CHORUS; (BELLE9)
(Am living in my own world)
Am living… am living… am living in…..
(Am living in my own world)
Sina cha kupoteza cause I don’t care,
(mi kama mimi)
Na kile ninachokiamini ndo kinatokea,
(Am living in my own world)
Sina cha kupoteza cause I don’t care,
(Am living in my own world)
...

Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.