Masikini wa chuki

kama waona niko single basi wakosea/kwenye mapenzi niko kifungo ka babu sea/sichezi nayo bingo najua nitapotea/na kama wewe ni wa kumingo basi ushapotea/sikuachi wala siupi hii nafasi/kufaham mengi yangu ya ndani ya nafsi/utanipata na furaha hata kama nina majonzi/kamwe maisha huwa hayana formular wala jeeez/ati nivae nyekundu nikiwa na majonzi haa!watoto wadogo wananikubali Queen/wanapagawa na yangu mistari/then watu wazima wanabaki midomo wazi/wengi wana sifa kuu ya kumind/nawachana acha leo niwaweke wzi/ili badae tusijeonana machuizi/napenda vile nafanya na kamwe kujuta siwezi/nipe ushauri lakini nitauchuja kama nazi na usiogope tena kesho kunishauri/si wajua wewe ni tajiri wa unafki/basi mimi ni masikini wa chuki CHORUS. Masikini wa chuki,masikini wa dhiki,ndiyo mungu kanipa hii riziki/tajiri wa mashairi,tajiri wa mistari,ndiyo mungu kanipa hii riziki kila kukicha nachofanya mimi ni kutafuta/hapa kule kule hapa kama mkuruta/nafanya hivyo hata life yangu nisijejuta/lakini kuna jamaa ako ndani anasubiri/hapendi kazi anapenda dezo lakshari/naandaa wine kisha pembeni natenga maini/namwita baby,najua atawahi fika/umezoea vya bure wajua bado ni ujamaa/sioni kazi kumwambia mwanaume kukomaa/atakasirika lakini atanisoma/kila nachofanya mimi ni kutengeneza life/money is everything i thank God am alive/nawapenda wote hata wale mahaters/because ndiyo sababu me napata mahela/nafanya hivyo hata life yangu isijesizi/ coz i know am the only cure for the disease/si wajua dawa ya moyo kupenda unakopendwa /acha mimi nifumbe macho nilale fofofo/masikini wa chuki/masikini wa dhiki/ndiyo mungu kanipa hii riziki/tajiri wa mashairi/tajiri wa marafiki/ndiyo mungu kanipa hii riziki Yeah ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.