Kaa Nami/Msaada wako

Daddy si shida ukinishikaga mkono
Ukanishushia maono nikalala usingizi mnono
Si ulinipa pumzi na ukaweaka mdomo
Ili nikusalie na maombi yangu yasiwe na kikomo
Iko wazi shetani huletaga mgomo
Akinisearch day n night kwa list yake name niwemo
Ukasema nisichoke kusoma na kumkemea kwa Neno
Juu angels ulituma na hunicare ile vimore
Baba ni thank you we hunipa more
Ni usiku, nihold ama unishike mkono
Nitafollow, heaven record, kitabu cha uzima niwemo
Sitachoka kupiga magoti, sala zangu si demo
Sauti yako hunifuata ikisema “ Mwanangu nakupenda”
Mi huisikia nikipaza sauti za kulia, mbali sitoenda
Upendo wako ni wa ajabu hata kama nimekosa we hunijibu “ Mwanangu nakupenda”
Lord me hukumbuka we ni wokovu
Still watu wako tukifanya maovu
Kwani hatuogopi? anyway we husamehe waovu
Abide with me, msaada wako hauna kikomo, mbali sitoenda
[Verse 2]
Angalia huyu kijana si kwamba ameshindwa kulala this night
Ye hudai daily life si fair na maisha imemuendea tight
Lakini bado ye husahau you are the Almighty
Njia yake si nzuri tena usiku kwake si night
But Lord we hujua, why? amekua akiprostituty
Kwa bed nikilala hawa madedbug hunikumbusha
Out kuko na watu hawana pakulala lakini Love hushare
Kaa mkate we hutupa na si jiwe basi jina lako lisifiwe
Mungu na sisi, Emammanuel ni wewe
Safari yangu si karibu, mlinzi wangu ni wewe
Me huogopa macho yangu yakiarise giza
Mikononi mwako ni safe, Jesus na hawa si ni we huwatunza
Kando ya kivuli cha haki we huwatuliza
Wengine juu ya majani mabichi huwalaza
Abide with me, msaada wako hauna kikomo, mbali sitoenda ...

Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.