Hey Woman

Track; Hey Woman!!!
Prod. Daz Naledge
Album; Nyota njema ya mtaa
Verse 1 ;-
Dear x-girlfriend, Yanakwendaje mambo,
Toka tumeachana sasa ni kirefu kitambo,
Nakumbuka tulivyokuwa na mapenzi moto,
Tulivyo fool in love mpaka ukataka mtoto,
Tulisha mpaka andika maneno juu ya mchanga,
Kabla hujawa na roho yenye ncha za upanga,
Tulishanyesha sana mvua za mapenzi kwa bed,
I swear 2GOD ilikuwa ngumu kunijia kwa head,
Kwamba kuna siku moyoni utajawa na Lucifer,
vile tulikuwa lovebirds waliokwendana sifa,
Ila Anyways, mimi hapa na-wonder,
Umeshampata jamaa mwingine anayekupanda,
Siku hizi mi nime-move on na nina new girlie,
Yupo na umbo sexy na anabonga ngeli,
Nimefall kiac nikamvisha pete ya uchumba,
Kazi yangu ya u-guide si imenijaza mavumba,
Nina mixtape na nimepanga bonge la nyumba,
Kama vile nahisi hivi nimemgota muumba,
&My new girl si ana tatoo yangu kwenye paja,
Na hubanjukwa na furaha kila anaponitaja,
Ila nina swali la haja mimi hapa na-wonder,
[have you found urself another maaan]
...

Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.