ZINDA Lyrics ORIGINALLY PERFORMED BY: Davy COVER PREFORMED BY: Angel WRITTEN BY: Davi COVER PRODUCED BY: E.M.A the boy INTRO Ahh ahh Ahh ahh VERSE 1 Okoa moyo kimazingira, Ili nipate tulia, Binadamu hawana fadhila, Lengo lao kutuharibia, Tunapopata huchukia, />tunapokosa ufurahia, wewe ni wangu wa imani, Zinda we usinitupe Zinda weewe *3 CHORUS Zinda baba wee Nakupenda mi sana wee Zinda baba wee maneno maneno yatapita *2 VERSE 2 Walisema sana ehh Huwezi tena baba wee Kuridi kwangu Zinda wee *2 Walijitwika maneno Wakayaona mazito Sasa wameshayatua bila wao kujitambua *2 CHORUS Zinda baba wee Nakupenda mi sana wee Zinda baba wee maneno maneno yatapita *2 BRIDGE Usijali maneno yao wanayo sema sema pembeni, Mi nakupenda sana , oh malaika wangu Usijali maneno yao wanayo teta teta pembeni Mi nakupenda sana, oh Zinda wangu ehh Zinda wewe wa waukaya wee, kumbuka Zinda, tumetoka wote mbali wee, zinda zinda zinda wewe wa nyumabni wewe, kumbuka Zinda nimetoka nawe mbali wee, Zinda Zinda ... Read More...
Share