Naogopa

Artist: Gosby feat. Ommy Dimpoz
Song: Naogopa
Lyrics: Gosby and Ommy Dimpoz
Produced: Nah Reel
Intro
Gosby, Swaghili, Na na Nahreel
Ngwangwaliza ngwingwolola X 2
Ila sina noma mie, ila sina noma mieeeeeh
Yebaaaaaaa
Chorus – Ommy Dimpoz
Nampenda penda ndo mana anazingua
Siwezi muacha nataka niko naye
Anaringa ringa na mahaba anayajua
kama pacha nataka niwe naye { Ndo mana}
ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa
Ogopa mi naogopa ndo mana niko naye
ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa
Ogopa mi naogopa ndo mana niko naye
Verse 1 - Gosby
Hivi we kwanini unataka vitu vingi hata nikisema no bado vitu vingi/
You want some more yani vitu vingi mapenzi gani haya yani full vitimbi/
Unanipeleka peleka ushanifanya mi pimbi/
I wanna buy shoes do you have some money/
I wanna buy clothes do you have some money/
Hivi we unadhani mi nafanya kazi gani/
Nikifoka unacheka/ nikisepa unadeka/
Nakukuacha sitoweza sijui kwa chupa ushaniweka/
Nikifoka unacheka/ nikisepa unadeka/
Nakukuacha sitoweza sijui kwa chupa ushaniweka/
Chorus – Ommy Dimpoz
Nampenda penda ndo mana anazingua
Siwezi muacha nataka niko naye
Anaringa ringa na mahaba anayajua
kama pacha nataka niwe naye { Ndo mana}
ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa
Ogopa mi naogopa ndo mana niko naye
ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa
Ogopa mi naogopa ndo mana niko naye
Verse 2- Gosby
Huh Why you do that to me/
Tell me somethin’
Why you do that to me/
We unaenda na simu bafuni/
Nakuambia kesho mi narudi saa kumi/
Nasikia unamabwana ka kumi/
Eti umesikia mi natoka na Umi/
Hujanipa tunda huu mwezi wa kumi/
Nilivyokua fala nakupenda tu mi/
Kama twitter nakufollow/
Hujaridhika na mi we mi hollo/
Unaona kwako mi niko dollo/
Nikiomba chezo hah tomorrow/
Huh Kama twitter nakufollow/
Hujaridhika na mi we mi hollo/
Unaona kwako mi niko dollo/
Nikiomba chezo tomorrow huh/
Chorus
Nampenda penda ndo mana anazingua
Siwezi muacha nataka niko nae
Anaringa ringa na mahaba anayajua
kama pacha nataka niwe nae { Ndo mana}
ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa
Ogopa mi naogopa ndo mana niko naye
ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa
Ogopa mi naogopa ndo mana niko naye
Bridge- Ommy Dimpoz
I do I do it for you coz u ur my boo
I do for you heeeh
I do I do it for you coz ur my boo
Chorus
Ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa
Ogopa mi naogopa ndo mana niko naye
ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa
Ogopa mi naogopa ndo mana niko naye
Outro – Gosby
Nikifoka unacheka/ nikisepa unadeka/
Nakukuacha sitoweza sijui kwa chupa ushaniweka/
Nikifoka unacheka/ nikisepa unadeka/
Nakukuacha sitoweza sijui kwa chupa ushaniweka/
Ila sina noma mie
...

Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.