Bado nipo nipo

INTROWagwan Bloodthe personality change, hii ya leo hii!HermyCHORUSMwana FA unaoa lini (bado nipo nipo kwanza)Unasema(bado nipo nipo sana) x 2Mwana FA unaoa lini (bado nipo nipo mwana)Wa kuoa ntakuwa mimi mwana!!?VERSE 1Japo natokea Tanga mapenzi yalipozaliwaSijivishi ufundi nikajifanya nayajuaMi nna akili timamu naona tu mnavyoyarukiaukiniona na demu mzuri haimaanishi ndio ntamuoanapata wakati mgumu washkaji wanapolia kwa uchungukwani na mi nna maumivu yangu nasema tu na moyo wanguwatu wanalalamika wanavyoumizwa na ndoa zaowengine wanaficha wanakufa na maumivu yaosioi leo,sioi kesho-kutwa wala mtondogoosioi mchana,sioi jioni,usiku wala majogoomorale nliyonayo sasa siwezi kubali kuibiwangoja nizeekezeeke kwanza pengine ntakuja elewaeti nizibe maskiowengine nifumbe machonisione wakati naibiwa?hamuwezi kuwa hamjalewami nikiona mtu anaibiwa naona kama naibiwa mimiso miaka kadhaa ijayo ndio mniulize naoa liniCHORUSVERSE 2hata nikitaka kuoa niambie ntamuoa nani?watu wana watu wao wengine toka zamaniukiambiwa we ni boyfriend haimaanishi uko peke yakowadogo usoni wanahifadhi wazee wakosijui ni dhiki au tamaa tu?watoto wanaanika njaa tuhawafikirii mapenzi wanachoona wao ni mkwanja tumsinipe headache staki kufuata Mkumbonyi anzeni mi niacheni,staki kufanya gamblemarafiki wanauzana/ndio zao vichechena daima wanateteana/usiwaamini usiniangusheanataka kuolewa na anamegwa kama kawademu wako akiuza wenzake,zinduka nae analiwa/yesstaki kuoa sababu staki kulianajipanga nisiharibu staki mje kunihurumianafahamu nna Bahati mbaya kama nalala na bundindio maana sijipi moyo wala sijitii maufundialilala na bibi arusi/siku moja kabla ya arusina wala sio bwana arusi/bado mnanishauri arusi?eti nizibe maskiowengine nifumbe machonisione wakati naibiwa?hamuwezi kuwa hamjalewaCHORUSVERSE 3usiseme unaamini mwanamke hata kama unamtaniawatu na akili zao washajichuuza na wakaliasikatazi watu kuoana hata nikiwakataza neno langu sio sheriasipendi wanawake napenda wanawake wazuriwanaojitunza wanajiheshimu sio wa simu na gariinahitaji muda kuwapata hakuna anaewajua vizurindio maana mi nipo nipo sitaki kuvamia shariwanatoroka na wazungu/wanamegwa na vibabuwanaiba waume za wenzao uso mkavu hawana aibuukitaka wako peke yako labda umuumbe mwenyeweau kata mgonjwa uufiche mtaani usishindaniwewakikumegea demu wako nawe tafuta mnyonge ummegeehaipunguzi maumivu inarudisha hadhi ya kiumekumegewa ni jambo moja kukimbiwa ushafkiria?sio kila demu umuonae unaweza muoaeti nizibe maskio!wengine nifumbe macho!nisione wakati naibiwa?hamuwezi kuwa hamjalewami nikiona mtu anaibiwa naona kama naibiwa mimi!so miaka kadhaa ijayo ndio mniulize naoa lini!CHORUSOUTROyes yes it’s yo boy FAna Hermy B ni kazi chafu but lazima mtu aifanye!sipendi wanawake napenda wanawake wazuri!wanaojitunza wanajiheshimu sio wa mkwanja na gari!yeeeeah, love is love my peopleladies,behave basi au sio? ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.