Tulia Na Mimi

Intro:NICHOLOUS&KELVIN JUNIOR

Nicholous

Ksb

Kelvin junior 3y3 monster..

Verse:1(KELVIN JUNIOR)

Kama mapenzi ni mzigo,nitwishe usinitue|

nichape kama fimbo,kweli mahaba niue|

/> Sipendi niwe single,popote niwe na wewe|

We ndo nyayo zangu,bila we sitembei|

Ukiwa mbali nami,napatwa na kiwewe|

Kwangu we ni special,kamwe usije kuondoka|

We ndo langu hitimisho,kwako nimeshafika|

Sitojari vyao vitisho,nisaulishe nisahau mpaka nilipotoka|

Milele nitakuthamini,kama converse na msela|

Jiamini nikuamini,amini sitokukera|

Usiende mbali nami,hata pasipo na hela|

Nahitaji uwe na mimi,na tubang kisela|

Mapenzi yangekuwa uchafu,amini ningekuongesha|

Na mapenzi yangekuwa sarafu,ningekupa za kutosha|

Hatutaki zao tafu,za kwetu zinatutosha|

Maneno yao machafu,yasije kututenganisha

Hhhhhh yeah hhh yeaah...

Verse:2(KELVIN JUNIOR)

Ntaona vipi bila wewe,wakati we ndo mboni zangu|

Nitaishi vipi bila wewe,we ndo kila kitu changu|

Mama nielewe,nahitaji niwe na wewe|

Nakupenda wewe,sina mwingine zaidi yako|

Napata kiwewe,ukiwa na shoga zako|

Nahisi watakufunza tabia,ambazo si zako|

Vumilia hard time,tutakula good time|

Maisha magumu,yananitoa ufahamu|

Ahsubuhi mchana kutwa,kwenda kufafuta|

Nikutunze langu ua,ili usije kunyauka|

Washika dau wenye pesa,wasije wakakuteka|

Ila nina imani na wewe,haliwezi kutokea|

Ni mara ngapi nimekosa,na wala haukucare|

kiasi gani nimesota,hadi leo hujakimbia

Mama nashukuru kwa uwepo wako

Maana hapa nilipo

Nisingekuwepo bila yako....

Choros+bridge:NICHOLOUS

Aaaaah ahhh mmmmh

Wanachonga sana

Wanabana sana

Ila mama hatujari tunafanya yetu

I swear

Wanachonga sana

Wanabana sana

Aaaah Eeeeeeeh

Ila mama hatujari tunafanya yetu

Hasira za nini we mamaaaa

Tulia na mimi ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.