Maswali

VERSE I
Mpenzi wangu mi nakupenda, sijali wameumia wangapi kwenye mapendo,
Kwako nishabwaga manyanga, kama meli bandarini imetia nanga,
We ni chaguo kati ya wengi, nipende mpenzi pendo lako nijivunie,
Juu yako yameshasemwa mengi, nikasimama mwenyewe ukweli niujue,
Nashukuru una nidham, upendo, heshima mpenzi udumu navyo,
Uongeze na ufaham, msimamo, hekima uvumilivu utubebe,
Nashukuru una nidham, upendo, heshima mpenzi udumu navyo,
Uongeze na ufaham, msimamo, hekima uvumilivu utubebe.
CHORUS
Moyoni nina maswali, je, unaweza kubadilika?
Mpenzi me nakupa tahadhari, nitakuacha upesi ukibadilika,
Mimi nitakuacha uende, ukiiga mienendo kama ya wale,
Sikupendei wako ulimbwende, mi nakupenda bila sababu.
VERSE II
Usipagawe na sifa zao hao mama wanakudanganya,
Ni uzuri wa hiyo sura yako baby ndo unawachanganya,
Eeh, wanatamani wakuonje, wakitimiza lengo lao wapotee….
Wanaweza lia, kueleza hisia, wakishakutumia wanachange geer,
Ni maharamia, chunga utaumia, cheza mbali nao hao,
Wanaweza lia, kueleza hisia, wakishakutumia wanachange geer,
Ni maharamia, chunga utaumia, cheza mbali nao haoo.
CHORUS
Moyoni nina maswali, (nina maswaalii) je, unaweza kubadilika?,
Mpenzi me nakupa tahadhari, (mi nakupa tahadhari)
nitakuacha upesi ukibadilika, (nitakuacha ueendee)
Mimi nitakuacha uende, ukiiga mienendo kama ya wale,
Sikupendei wako ulimbwende, mi nakupenda bila sababu.

OUTRO
Mmmhh nakupenda bila sababu mpenzi, uuuhh huuu,
Nakupenda vile ulivyo baby, uuuhh huuuuu…
CHORUS
Moyoni nina maswali, je, unaweza kubadilika?
Mpenzi me nakupa tahadhari, nitakuacha upesi ukibadilika,
Mimi nitakuacha uende, ukiiga mienendo Kama ya wale,
Sikupendei wako ulimbwende, mi nakupenda bila sababu.

END/MWISHO.
...

Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.