Nimeshazoea

INTRO
Yeee yeiyee yeiyeeeee..... Oooh oooo.
VERSE I
Uliniacha mi na simanzi, nikatamani jitia kitanzi,
yakala kwangu haya mapenz nikilala nikawa sipati usingizi,
NIKAWA NAWAZA HAPA NA PALE JUU YA KILICHOKUFANYA UNIKIMBIE,
cha maana nikawa siwazi, nikabaki mi na bumbuwazi,
kumbe mwenzako naugua wakati we uliko unatanua,
siku wiki zilikatika nikijipa moyo labda utarejea,
mpaka mwaka ukakaribia hukutokea nikaamua kukupotezea ee eee
(hukutokea nikaamua kukupotezea ee eee).

CHORUS
Badala ya kusema njoo, Middle nasema goo,
ulonitenda yanatosha, niache nipate pause X2
VERSE II
Umaskini kumbe sababu ilokufanya unikimbiee,
you never thought of hurt of love ukaniacha me niumie,
ukawa na shobo nao ulabu, kwa wenye pesa nao walizitafuta,
wangu umaskini ikawa sbabu ya kuniona kama takataka,
\'cause mi nahustle toka long time ago, ukajua kuwa sitapata,
ulichachawa na wako huo uzuri, kwa sifa zao ukawa na kiburi,
yangu sukari ukaitia shubirii, mapenzi yangu ukayachimbia kaburi,
sasa ni nini mbona unarejea, niache nipate pause sitakurudia,
mapenzi yangu macho uliyafumbia, niache naomba ondoka zako we kiruka njia ee ee ee ee eee.
(CHORUS)
OUTRO
Ulipagawa na viyoyozi, ukaniacha mi na majonzi, ukatamani hayo matanuzi, sasa vipi unaruudi?
-Afidbill 4real, Middle Danger, Mashada Inc..
...

Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.