I see Fire

VERSE 1. Kama nitabaki kuwa salama maisha,uhasama ndio utakwisha/Itakua usalama usio sakamwa na wenye pesa/wenye visa watakwisha tukibadili picha/nakuandika kila kilichopita/sio kiburi sio tamaa,sauti nzuri za ujamaa/anakupa leo na kesho anakukataa/unakua kideo kila mtu anakushangaa/unakosa upeo nafsi inakosa raha/una fungu la kukosa pia unafungu la kutoswa/msamaa wa nini ka unashindwa hata kuondoka/utalipa nini kila kitu ulisha kopa/unaanza ropoka unalewa bila vodka/na una kila sababu za kutaka kujiua/maana kila unachofanya unaona kama haitakua/na unajua maisha ni plan,ku win ni process/michongo ina fail tu kwenye progress...!!!!!!! VERSE 2. Pata majanga na visanga vya kutosha/mpaka ndugu wa damu anakutosa ulivyochoka/hakumbuki mlivyotoka na kuwafanyia ihsani/wote wameondika maskini utalia na nani/usiamini hauna bahati nenda ubahatishe mbele/kila mbwa ana wakati wa kulishwa na misele/hata ukipanga mikakati na ikakwama usione kwere/tamaa huja kusudi uvumilivu urudi kwao/shida zinapozidi ndio shetani upiga bao/amani kwao wasio kata tamaa,ka mshumaa kwenye upepo/toa jasho la ushujaa ukishakaa/nikupe heko na upepo usingoje kesho!!!!
...

Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.