Mapenzi Kazi

VERSE (1)WENGI WALISEMA PAMBE HOO PAMBEMAPENZI YETU MI NAWEEILA NIPUNGUZE UBABE HOO UBABEILI IFIKE TUZAEWAJUA MAHARAGE YAKIRUKA RUKANDIO KUIVA KWAKE EEUKINIACHA MI MWENZAKO NITAUMBUKAKAMA SHETANI ALEGEEMPENZI SOGEA SOGEA NISHONEE SURUALI YANGU NITOKEEWATU WANAONGEA ONGEA LAWAMA EEMPENZI SOGEA SOGEA NISHONEE SURUALI YANGU NITOKEEWATU WANAONGEA ONGEA SANA SANA OOOHCHORUSMAPENZI KAZI IIIIKAZII KAZI IIIIKULINDA PENZI KAZI MAMA WEEKAZII KAZI IIIIOOH UBINADAMU KAZI YO YO YOKAZII KAZI IIIIOOH NAKUJICHUNGA KAZI MAPENZI WEKAZII KAZI IIIIVERSE (2) POPOTE UNAPO TAKA NIPELEKE MPENZIILA NINACHO KUOMBA USINIMWAGE CHOZII IYEEVILE TABIA ZETU ZAFANANANAONA RAHA KWANGU KUPENDANANAHISI KIFO CHANGU KUTENGANA MI NAWEWEHASI USIIGEUZE IKAWA CHANYAMBELE YA MBONI ZANGU AIBU SANANAMI NA HALI YANGU NAPAMBANA NIISHI NA WEWETUMUOMBE MUNGU KUKICHA TUCHEKE AMEENMAPENZI YASITUPIGE TEKE AMEENKIDOGO NIKIPATA NILETE UKIPOKEEMPENZI SOGEA SOGEA NISHONEE SURUALI YANGU NITOKEEWATU WANAONGEA ONGEA LAWAMA EEMPENZI SOGEA SOGEA NISHONEE SURUALI YANGU NITOKEEWATU WANAONGEA ONGEA SANA SANA OOOHVYA KUTIANA MASHAKASIO MAPENZI HAYO SIO MAPENZIMARA SITAKI NATAKASIO MAPENZI HAYO SIO MAPENZIKUWEKEANA LIMBWATASIO MAPENZI HAYO SIO MAPENZIMARA FULANI ANANITAKASIO MAPENZI HAYO SIO MAPENZIOOHOOOOO SIO MAPEENZIIYE IYEHEE EE HEEEE ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.