GOZBERT x MUDOSAWIMBO WA SIFA | La Chanson De Louange LyricsVERSE 1Baba Sauti Yangu Ikawe Dhabihu Ya Sifa Kitini Pako YahwehYesu Unipe Wimbo Wa Sifa Niimbe Moyoni Mwangu BabaKwenye Machozi (Niimbe)Kwenye Furaha (Niimbe)Kwenye Mapito (Niimbe)Wimbo Wa Sifa Kwenye Hali zote (Niimbe)Mimi Niimbe (Niimbe)Bila Kuchoka (Niimbe)Wimbo Wa SifaVERSE 2Nisizuiwe Na Hofu Mashaka Wala Uoga Faraja Na Tumaini Lako Vikawe Wimbo MmhKama Ulinipa Baraka Katu Sitosumbuka,Neema Yanitosha Nipe Na Wimbo,Wimbo Wa SifaCHORUSNiimbe Kwenye Furaha (Niimbe)Kwenye Mapito (Niimbe)Wimbo Wa Sifa Kwenye Hali zote (Niimbe)Mimi Niimbe (Niimbe)Bila Kuchoka (Niimbe)Wimbo Wa SifaVERSE 3Tu es mon père je suis ton enfantToi tu me comprend mieux que tout ceux qui sont autour de moiQuand je prie Seigneur écoute la prière de mon Coeur et puis met ta chanson dans ma boucheNiimbe NiimbeChorusDans les Larmes (Je vais chanter)Dans la joie (Chanter)dans les épreuves (Chanter)La chanson de louange kwenye hali zote ( Niimbe)Mimi Niimbe (Niimbe)Bila kuchoka (Niimbe)Wimbo Wa SifaNiimbe Niimbe Niimbe Tu (Niimbe)Wimbo Wa Sifa (Niimbe)Sans me fatigué (Chanter)La chanson de louange ChorusDans les Larmes (Je vais chanter)Dans la joie (Chanter)dans les épreuves (Chanter)La chanson de louange (Chanter)Dans tout les cas (Je vais Chanter)Moi je v chanter (Chanter)Sans me fatigué (Chanter)La chanson de louange (Chanter)ChorusNiimbe Niimbe Tu (Niimbe)Wimbo Wa Sifa (Niimbe)Kwenye Mapito (Niimbe)Kwenye Hali zote (Niimbe)Mimi Niimbe (Niimbe)Bila Kuchoka (Niimbe)Wimbo Wa Sifa (Niimbe)Niimbe Niimbe Niimbe Tu MWISHO ...
Read More...
or login using your social media account
or login using your social media account
Share