Umeshinda

GOODLUCK GOZBERTUMESHINDA YESU LyricsVerse 1Umefanya Mengi Yaliyo nje Ya Fahamu Zetu,Ya Kushindwa Mtu Ukautwaa Utukufu Mkuu,Si Waashaka, Si Wasiwasi,Ukishatenda Unabaki Kuwa Ushuhuda MkuuYale Umefanya Yamebadilisha Na Majina Yetu, Bila Gharama Umeweka Kicheko,Kwa Macho Nimeona Viziwi Wakisikia Tena, Kwa Macho Nimeona Ukitenda Makuu,Ona Waganga Walitutesa, Hawakuweza Kutuponya,Dakitari Alishasema Ya Kwamba Imeshindikana,Ila Kwa Damu Ya thamani Eeh Yesu Umeturejesha,Na Nimeona, Ooh Nimeona,CHORUSNikitembea Naona Umeshinda YesuVerse 2Yesu Yesu Yesu, Jina Lako Ni Taamu,Hata Kwenye Taabu Bado Jina Ni Tamu,Uuh Yesu Linaondoa MagonjwaKiboko Ya Uchawi,Fufua Na Wafu,Tetemesha ,Lina pasua Miamba,Vunja Ngome Kuzimu,Tuna Ujasiri, Wewe Ni Mungu,Mwanaume Eeeh (Baharini Kimya)Mwanaume Eeh(Maana Yeye Ni Mfalme)Mwanaume Eeh(Dunia Nzima Ya Tii)Hakuna wa Ku,Anatawala,Jemedari wa Vita,Yeye Nii,Simba Wa YudaaAsante Sante Sante Sante Sante,Yesu U are Number OneKweli NimeonaWala Sihitaji Kusimuliwa Matendo Yako Makuu, Sihitaji Kusimuliwa AaahMWISHO ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.