Nyakati

Goodluck GozbertNYAKATI LyricsVerse 1Unaona Kama Kila Uchogusa KimeharibikaUjasiri wa Kusema Tena UmetowekaMaana Kila Unalosema Wewe Kama Unakosea,Umechanganyikiwa Ni Mungu Ajua Unayopitia,Na Ukisema Ueleze, Wengi Kwao Ni Furaha,Wewe Mwombe Mungu Ubaki Kimya, Mengi Umevumilia Moyo Umenyong'onyea,Hapo ulipo Sasa Ngang'ania Tena,BridgeNa Mungu Hajaruhusu Jaribu Kuliko Uwezo Wako,Imani Nusu Ongeza Utashinda,Mungu Hatoruhusu Ufe Kabla Ya Baraka Zako,Imani Nusu Ongeza UtashindaChorusZipo Nyakati za Furaha Nawe Utacheka Tena Usijali Mungu Yupo Nawe.Verse 2Moyo Wako Una Majeraha HaufaiTena Unasubiri Kauli Ya Mwisho Ya Mungu,Wapo wanaojua We Huna mtoto, Kwa Kejeli Wanaulizaga Ana Umri Gani,Tena wanaoujua Umefukuzwa KAZI Kwa Kejeli wanaulizaga Bosi Wako Yupo,Ila Nakwambia Hayatodumu, Ni Nyakati TuHautobaki Hapo Haya Ni Mapito,Jipe Moyo Tazama Juu Mwombe Mungu Ujasiri, Ni Mapito Tu Jipe Moyo Mkuu,Japo Huna Nguvu ya Kumwomba, Mwishie Mungu, Ni Mapito Tu Jipe Moyo MkuuBridgeMungu Hajaruhusu Jaribu Kuliko Uwezo Wako,Imani Nusu Ongeza Utashinda,Mungu Hatoruhusu Ufe Kabla Ya Baraka Zako,Imani Nusu Ongeza UtashindaRefrainHata wakizusha Maneno Ya Uongo Wakakwambi Umemuasi Mungu UhNi Sawa Hawajui UnakopitaWakaja Na Unabii wakasema Umefika Mwisho Wako WeweNi Sawa Hawajui UnakopitaWakainuka Ndugu wa Karibu, Wakakusema Ovyo OvyoNi Sawa Hawajui UnakopitaIkawa Kila Kitu ni Kimya, Marafiki Ni KimyaNi Sawa Hawajui UnakopitaNdoa Ni Yako Lakini ndani ni UaduiNi Sawa Hawajui UI IlaaaChorusZipo Nyakati za Furaha Nawe Utacheka Tena Usijali Mungu Yupo Nawe.MWISHO ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.