Niokoe

*Verse 1*Nishakunywaga sana MaulakaNakulala popoteWashanizushiaga kibakaNusura waninyongote Manguo yangu yangu yote virakaSiheshimiki kokote(Popote) Mwishoe wanitoe sadakaNdo uje uniokoteNisiwe muongoSiyo kwamba silagi nakulaNikikukumbuka ndo na achaNa siyo kwamba silali nalalaIla picha yako mpaka itakapotokaNdo kama hivi nikitoka nalewaStress kama zoteMapurukushani kila siku napewaMakesi kama kama yoteIlaaaaa!!!! Siyo kwamba silali nalalaIla picha yako mpaka itakapotoka*Chourus*Niokoe - UjeNiokoe - Imenitawala duniaNiokoe - Ohh baby baby ohhNiokoe - Ohh baby babyNiokoe - Imenitawala duniaNiokoe - Aahh aaahh!! *verse 2.*Na kama itatokeaKufa kwa ajili yakoHata mama nshamwambiaAsikukutengeNa kama itatokeaKufa kwa ajili yakoHata ndugu nishawaambiaWasikutengeKichwa changu tupu kama kopoHisia zangu zimekufa kupendaKutwa nashindia tu MadompoKimwili kinatiririka kukondaSiyo kwamba silagi nakula Ila nikikukumbuka*Chourus*Niokoe - UjeNiokoe - Imenitawala duniaNiokoe - Ohh baby baby ohhNiokoe - Ohh baby babyNiokoe - Imenitawala duniaNiokoe - Aahh aaahh!! ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.