KISURA

Intro: Unpredictable GeniusOuwoooh ouuuh ouwoh ooh Ah ah ah (Kisura)MikonoVerse I: Now When I look at angani...naona nyota mbalamwezi/Moyo nliuweka rehani...kwa kuendekeza mapenzi/Nlishakuvisha vyeo...sikuamini siku ungesepa/ butLeo umeniacha peke yangu natesekaAhadi zako maji ya upupu...ulinimwagia nawashwa/Najihisi Niko mtupu...siyo siri umenzima data/Taswira imepotea...ni vipi ntaiona kesho/Why?Moyo wangu uliuchezea...nami nlikufanya special/Nliomba samahani...hata uliponikosea/Ili tuwe na Amani ndani...mwisho haukucheza fair/Muda nlikupatia...upendo nkapima lumbesa/Cha ajabu haukuzingatia...uliwaza Vogue na chaser/Maneno waliniambia...sikuyatilia maanani/Walitabiri utankimbia...kwangu nliona kama utani/Kiburi cha pesa...na bata za mpito/Vikakufanya ukasepa...ukaniacha na mzigo mzito/Chorus: [HAMADAI]Nshaona wengi wakilia tu...Skujua wanaumizwa na niniKumbe kuna watu na viatu...Leo yamenikuta na MimiTatizo moyo... (Moyoooo)Nilimpa vyote bila kujua mie...Na vile skuwa na choyo... (Choyoooo)Huruma yangu Leo ndiyo imeniponza mie...Verse II: Ulinifata ukilia...ukaniomba tuwe pamoja/Story yako ukanihadithia...siyo siri nkasema ngoja/Siwezi ongopa...nilikuona mwanga kumbe kiza/Sometimes hadi nlikopa...machache niweze timiza/Haukumbuki nyuma...maana hisia zako ni zero/Jinsi nlivyojituma...ilibidi we uniite hero/But all good...maisha yana change/Sisemi stopenda tena..maana umenifunza mengi/(Bado good...) Maisha yana change sisemi stipenda tena...(maana amenifunza mengi Mimi)/Nimeshtuka...kuona unanifikiria/Ila siwezi kujuta maana ni mengi tumeyapitia/Washkaji waliniambia...sikuyatilia maanani/Waliamini utanikimbia...kwangu nliona kama utani/Kiburi cha pesa...na bata za mpito/Vikakufanya ukasepa...ukaniacha na mzigo mzigo/Chorus: [Hamadai]Nshaona wengi wakilia tu...Skujua wanaumizwa na niniKumbe kuna watu na viatu...Leo yamenikuta na MimiTatizo moyo... (Moyoooo)Nilimpa vyote bila kujua mie...Na vile skuwa na choyo... (Choyoooo)Huruma yangu Leo ndiyo imeniponza mie...Bridge: [Hamadai]Moyo.... Oooh...heeey heeeh Moyo... Ndiyo umeniponza mie/Wuooh wuooh wuooohWuuuh woooh wooh woooh..Yanaumiza... ( moyooo)Yanachoma aaah haaa ahhhYanaumiza.... (Choyooo)Wuooh wuooh wuooohWuuuh woooh wooh woooh..God And Music Ouwooooh Ezzy Skillz Sikua na choyooHamadai UuuhMikono ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.