NIPE

GOODLUCK GOZBERTNIPE LyricsVerse 1Hata Nikiwa Sina Chakula Isinifanye Kusahau Ulinilisha Nikasaza,Hata Nikiwa Sina MavaziIsinifanye Nikufuru Nakusahau Umeniweka HaiOna Wapo Marafiki Wanakosa Kula Na Kuvaa,Hawalalamiki Wanakushukuru Tu,Mimi Eeeh Nilikupa Nini Baba, Cha Kunipa Kibali Siku Zilizofurahisha,BridgeTabu Kidogo Zisifanye NikusahauUlishatenda Mengi Nikiwa Hapa,Shida Itapita Bado KidogoIkiwa Nitachoka NiinueChorusNipe Kukumbuka WemaNipe Kumbuka Wema WakoVerse 2Hata Kwenye Bonde Hili La Mauti, Nakumbuka Nilikuita Na wewe Ukaitika, BabaKutegemea Akili Zangu, Na Mawazo Yangu..Kutanifanya Niendelee Kulalamika,Kuna Kipindi Najisahau Na Kujivunia Mafanikio,Wengine Naona Taka Taka,Nikumbushe Mi Ni MTU Tu Na Dunia TunapitaUhai Wangu Si Faida Bila Wewe,Mungu Wewe Ni Mkuu, Kuliko Vile Nakutazama Baba, Unisamehe UnisameheKuna Nyakati Nadhani Hii Dunia Labda Ni Ya Ushindani,Natumia Akili Zangu Za ndani ila Bado Nashindwa Kuendelea,Nikumbushe Nisidhani Wakifanikiwa Tuna UpinzaniNikumbushe Kuwaombea Amani,Na Utatenda Kwa Wakati,BridgeNa Ikiwa Kama Nikisahau Unikumbushe Mi Mtoto WakoKama Nikisahau Unikumbushe Mi Mtoto Wako.ChorusNipe Kukumbuka WemaNipe Kumbuka Wema ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.