DELILAH

INTROAahh hahaha aaah!'Ya Done know'VERSE 1Ati shida raha tulizopitia, usije kimbia mbona!Mi nitapatapa nakufikiria,we ndio dawa mi napona!My Loooove yaani mi na wewe, mpaka kiama!Delilah wako Samson, Meli ishazama!Kikubwa nidhamu nidhamu nidhamu dhamu!Penzi ni hamu ni hamu ni hamu hamu!Nataka tuunganishe hizi zetu damu damu!Usininyime mautamu mautamu tamu!chunga Darling darling!Usiniache darling!Isijekuwa kama wale!Nikikukosa ni hatarii! Atii Mamaa!!! CHORUSNichanganye changanye! We nichanganye!Niburuze buruze!We niburuze!Nichanganye changanye!We nichanganye!Ni buruze buruze!We ni buruze!VERSE 2Hadi wakubwa wanalia mapenzi pia yafanya wanafunzi wasisomewazamani aliniumiza sana ila haikufanya mi mapenzi nikome!Mwili wabishana na moyo ni bora maumivu ya mkuki ukuchome!kutwa kucha najitamba chonde usijefanya mwafulani anizomee!Na we nitie kwenye chupa nikupigie Zumari vile we unavyotaka!Kwako siwezi furukuta mi ndege kwa ulimbo kwako ndio nimeshanasa!chunga Darling darling!Usiniache darling!Isijekuwa kama wale!Nikikukosa ni hatarii! Atii Mamaa!!! CHORUSNichanganye changanye! We nichanganye!Niburuze buruze!We niburuze!Nichanganye changanye!We nichanganye!Ni buruze buruze!We ni buruze!OUTRO ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.