Nimetekwa ft. Dabo

INTRO(Dabo): Kanda Maalum represent in this one...*Nyerere speech*(Dabo): Vampire deaVERSE: ONEJoh Makini ananisihi daily Wakazi chuna/Adili anadai "you can't be top5, vigezo huna"/I respect that, just to get better, the way I strive/Chip on my shoulder, give cats that's older a shoulder burge/Ni ka Bajaj, speed ya career kimuziki/Acha basi mwendokasi, napitwa na pikipiki/Bodaboda, ingawa tayari nilishavuka border/Ni kama nguvu ya soda, kukata kiu ya mashabiki/Mama anapenda biblia iliyomdharau/Mwanamke, story alizonisimulia siwezi kuzisahau/In the New Test, Petro, Yohana na Nikodema/Kitaa wanadai Demu wa Yesu ni Magdalena/Maria, Wallahi unaweza kustaafu dini, uchukue msaafu uslim/It's all a game, senta hafu ni mimi/Nimejifunza mengi sijui niamini nini/Haya Mawazo huru ya aliyefungwa akilini/NimetekwaCHORUS: (Dabo)Nimetekwa kifikra na sijabisha,Napambana, sababisha, kwa speed natiririsha eehNimetekwa kifikra na sijabisha,Napambana, sababisha, kwa speed natiririsha weeeNimetekwa kifikra na sijabisha,Napambana, sababisha, kwa speed natiririsha eehNimetekwa kifikra na sijabisha,Napambana, tiririsha, kwa speed nasababisha weeeVERSE: TWOApewe nini Kabwela akitoa hoja nzito/Au akihubiri uzalendo je mtaitikia wito/Usithubutu, kuuleta utundu wa Lisu/Kamati kukulia bati la kutu, chinjwa baharini kwa kisu/Kilimo kwanza, kwenye uchumi wa viwanda/Mlima bangi anafungwa, Rizzla inalipiwa kodi, I wonder/Je tutafika, Kwa ukali wa jua la saa sita/Na ikifika saa nane tutajua Ben akifa/Tunataka taifa salama, sio usalama wa taifa/Wenye sifa za siri nyeti kuzivujisha/Wenye vyeti feki, Jijini wanatikisa/Ila siwacheki, maana hata mimi hivyo vyeti sina/Pole Roma, Moni na Bin Laden/Najua yaliyo wafika ni mengi, but y'all be alright, amen/Mawazo yananichanganya na wala sio maisha/Kama nafsi huru inayohitaji kombolewa kifikra/ nimetekwaVERSE: THREEHaya mapito, Kila mtu anapitia/Lazima kuoneshe nia, Ili uweze kuiona njia/Skia, I hustled like 20 times before/If I don't make it, nipo tayari ku hustle 20 times more/Waliniona sana kwenye vichupa vya Mecky Kaloka/Wakidhani international Wakazi mi sitotoka/Sasa cheki Jinsi povu linavyowatoka/I used the same obstacles, to persevere, Bila dondoka/Nadondoka kwenye beat/Cheki navyoteleza, Na bado mi Sipo tayari kuondoka kwenye huu mziki/Navyofoka na niko fiti, lyrically/Walokata tamaa, tayari washa tupasia vijiti/It's a marathon, way I smoke emcees on these tracks/I'm like methadone, making shorties lean on the track/Musical iodine, staying in the cut/In everyday struggle like biggie, keep ur head up like Pac, what/OUTRO: (Dabo)All in for tings, goin right know knowYoo this is the vampire representing dis oneAlongside bilingual beast, ya don know what me a say ya... watch itWritten by Webiro "Wakazi" Wassira, Laban Mbibo.Produced by CalidroRecorded by Mujwahuki at PushUp Studio.Mixed & Mastered by Mujwahuki at PushUp Studio.Dabo appears courtesy of Biorn Ent. ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.