Amka Twende ft. Laylah & Ibrah Nation

BRIDGE: (Laylah)I can't explain the way that I miss you, but I know you miss me tooI can't explain the way that I miss you but I know you miss me tooAmka twende, Amka twendeAmka twende,Amka twende, Amka twendeAmka twendeVERSE: ONENi kitu ambacho milele utaomba kisitokee/Ila haiwezekani kuzuia ya Maulana yasitokee/Hakuna ajuaye siku wala saa, ni yeye pekee/Mshkaji alikuwepo mchana iweje usiku apotee/Kwenye sura ya dunia ya Subhanu Wat'allah/Ila yeye ndio muamuzi kwani yeye ndio mtawala/Ndio maana bado tunashukuru Kwa kila jambo/Kwa matakwa ya Mwenyezi Mungu majonzi tunaweka kando/Mama, mbona umeondoka Ghafla na kuacha wanao/Si twalia, Selemara anachonga box la mbao/Wachimbaji wanawalalia wanaotaka laza wenzao/Wakitaraji mioyo ya kujitolea siku ya kulazwa wao/Mpirani kaka Alikuwa partner wangu, striker/Kisimani wakubeba ndoo Yangu ni dada/Aliyekuwa kipenzi cha roho yangu ni mama/Shujaa wangu toka Enzi basi baba amesimama/CHORUS: (Ibrah Nation)Amka Twende, jumapili imefika mama twende zetu kanisaniAmka twende, sasa saa kumi na mbili kaka hebu twende mpiraniAmka twende dada nibebe ndoo yangu KisimaniAmka twende, Amka twende, Amka twendeVERSE: TWOMaisha huweza kukupita wakati unayapanga/Mara zote ukiwa kwenye Giza ndio utauthamini Mwanga/Pia Imani inatibu kuliko dawa ya mganga/Na Upendo wa dhati hufariji ukipata janga/So ma rafiki wa kweli, bila aibu nawapenda/Wenzetu wametangulia ila sote tunakwenda/Kwani mauti ni hakika na yana moja tu agenda/Kuchukua roho zetu hata pasipo penda/Ni vigumu kujua Hisia za yule aliyepata msiba/Iwe mapenzi ya Mola au kwa shetani kumuiba/Najua kuwachukua ilikuwa bado mapema/Ila inshallah, najua tutaonana tena/Leo mbele yangu tu kimya mkinitizama/Mmevaa suti na shela kama watu waliooana/Najua ni vigumu kusema Kwaheri tena ya kuonana/I still feel your presence, ndo maana nasema/CHORUS: (Ibrah Nation)Amka Twende, jumapili imefika mama twende zetu kanisaniAmka twende, sasa saa kumi na mbili kaka hebu twende mpiraniAmka twende dada nibebe ndoo yangu KisimaniAmka twende, Amka twende, Amka twendeBRIDGE: (Laylah)I can't explain the way that I miss you, but I know you miss me tooI can't explain the way that I miss you but I know you miss me tooAmka twendeVERSE: THREENatamani siku zirudi nyuma/Au nimuombe Israeli japo awe na huruma/Kawachukua rafiki zangu bila ya tahadhari/Kwani misiba nimesikia kwenye vyombo vya habari/Pablo the brandson, Magoma Bakari/Kiberiti, kwenye rap ni Moto wa kuotea Mbali/You was the first person to say, I was a hot rapper/Remember in Bilicanas, all of them freestyles bra/Me, you, Byamungu, G-Nice, and also Langa/My heart is cold as ice ila Mungu ndo anapanga/I told you I'm coming back in the summer hope kukuona/Bora ningesali zaidi na maybe ungepona/Malo I miss you, Chicago ain't the same without you/Sam Sode, you know I ain't the same without you/I'll make y'all proud, hopefully from up there you'll smile/They say the good die young Yall the proof to that/ I miss you...Written by Webiro "Wakazi" WassiraProduced by Willie HDAdditional production by MujwahukiRecorded by No Future at Bantu RecordsMixed & Mastered by Mujwahuki at PushUp Studio.Laylah appears courtesy of Chimbo Inc.Ibrah Nation appears courtesy of Switch Records ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.