Kila Siku ft. Rossie M

INTRO: (Rossie M)Japo kila siku mi nachapa lifeSiwezi shuka chini, juu napambanaSijali na survive mi nasongaEveryday, I keep my head aheadVERSE: ONETumetoka sehemu moja ila bado tofauti/Kuna ndugu tunaofanana jina la Mwisho na sauti/Babu, Mtaji huu hujui nani mjukuu/Maana kitinda mimba kalala na watatu usiku huu/Mshkaji kumtaka dada yangu, ni Kama kutaka uhasama/Haswa pale anapompiga kibendi kama Ngwasuma/Sister tell me is this the kinda life you like/Wavulana nao wamegeuka mabinti, astaghafilulahi/Shemeji shemeji Mbona unazima taa/Nimekupa dada, demu wangu nae unataka mkaa/Wenye vichwa vyepesi nayosema hayawezi wakaa/Wana majiko ya gesi, bado wanakata mkaa/Aliyenipiga kibuti aliugeuza moyo wangu barafu/Ambayo kwa aliyenipenda iliyeyuka kwa tabu/Mawazo yana nichanganya na wala sio Maisha/Kama nafsi huru inayohitaji kombolewa kifikra/CHORUS:(Rossie)Japo kila siku mi nachapa lifeSiwezi shuka chini, juu napambanaSijali na survive mi nasongaEveryday, I keep my head aheadKila Siku(Wakazi)Bahati, mikosi na roho za wanadamuNaogelea, Machozi Jasho na Damu(Rossie M)Kila Siku, Maisha NinayakabiliVERSE: TWONasukuma wiki kama mboga za majani/Machozi Jasho na Damu humwagilia bustani/ Sijali ladha kama siku tatu sijala/Penda kilichopo, unaeza nipikia mavi nikala/On the road to redemption temptations pay a visit/Ka kukimbia ukame kwenda Jangwani ka mtoto wa kike/Devils haunt me, force me to make mistakes/And Angels warn me, put God first to this date/It takes heart of a Lion surviving jungle of fire/Kwani wenye roho nyepesi wame kwisha retire/I do what I please, rather whatever my heart desire/Unaweza kunitukana nisijisikie vibaya/This the life that I chose, straight up no back up/Plan ya kuvuka mipaka ya rika, matabaka/Sauti kusikika kwenye speaker, when they turned up/Kuhakikisha wahusika wanakoshwa kama bathtub/Hassan Diria wa Rap game ya Tanzania/Abiria siwaachi stendi niitafutapo njia/Hakuna mjadala, I know my place in hip hop/Nimeleta mapinduzi bila kumwaga Damu kwenye hii vita, Kila sikuWritten by Webiro "Wakazi" Wassira, Rossie MpangalaProduced by MujwahukiRecorded by Mujwahuki at Bantu Records.Mixed & Mastered by Mujwahuki at PushUp Studio.Rossie M appears courtesy of PushUp Ent. ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.