Ndoto za Kijiweni

INTRO:*a man talking*VERSE: ONENgurumo Za Maneno kama hayoHuweza kuzisikia sehemu zifuatazo/Lahasha sehemu ifuatayo/Wakaapo masela wanaopiga miayo/Wanao ota Hela na kuhisi bahati kila wakiwashwa nyayo/Wanatamani kumeza Watu wakati wao ndio waliwao/Wanakalia mawe wakati wana makwao/Urahisi wa njozi Zao ni suala la kukimeki/Uhalisi wa njozi Zao ni tamu kama keki/Mi mmoja wapo nae ridhisha nafsi kwa ndoto feki/Ishi gizani ka popo, mipango Ya kifalme, na ya mtwana bajeti/Ni sisi unaoishi maisha ya msoto bila hauweni/Ni mimi nae wakilishwa na ndoto Ya kijiweni/CHORUS:NdooootoHizi ni ndoto, ni ndoto, na kijiweni (ni kukimeki)NdoootoHizi ni ndoto, ni ndoto, na kijiweni (iwe real iwe feki)NdooootoHizi ni ndoto, ni ndoto, na kijiweni (ni kukimeki)NdooootoHizi ni ndoto, ni ndoto, na kijiweni (iwe real iwe feki)NdooootoHizi ni ndoto, ni ndoto, na kijiweni (ni kukimeki)NdooootoHizi ni ndoto, ni ndoto, na kijiweni (iwe real iwe feki)NdooootoHizi ni ndoto, ni ndoto, na kijiweni (ni kukimeki)NdooootoooooooHizi ni ndoto, ni ndoto, na kijiweni (iwe real iwe feki)VERSE: TWOAthumani alisema, lazima awe milionea as long as kuhema/Marijani amechoka kuonewa sasa anatenda ubaya juu yaa Wema/Hiyo ni sawa na mbigani kwenda kuweka hema/John hawezi weka siri moyoni, lazima atasema/Ila sio mbaya hata mi siwezi kula mgagani bila kutema/Idi kasema akimaliza la saba ni Simba au Yanga/Bakari anatamani kwenda ulaya kwa ungo du hiki kisanga/Bora angezaliwa kwa kina Omari kwani bi riziki mwanga/Kiba kachoka kuishi kwenye nyumba za kupanga/Baba jeni hataki kuua kwa kisu anataka panga/Janu anamsimamo nadhani ni sekondari/Ka mfano, akikasirika hashindwi kukuchoma bikari/Kizito ameshindwa kunywa chai bila sukari/Yupo English kozi, kwa lengo la Daktari/Iwe isiwe kila tendo ni ngazi tena moja Mbali/Na umaskini, yamkini, kupata Maisha hauweni/kuhitimisha Ndoto Ya kijiweni/VERSE: THREETunaishi Mbali na hali halisi/Mwisho wa wiki kwetu unaanza alhamisi/Ndio, ingawa wengi ni wa tabaka yabisi/Mamia katika kundi hawawezi mikiki/Sikusemi wewe mjomba usijihisi/Ila salute nawapa uzushi wa kila jinsi/Mawazo ya mchana more than wishful thinking/Hizi ni ndoto za mchana, za usiku hazitishi/OUTRO:Man kijiweni ujue, siku zote huwa ndoto ni kuhusu kukimeki tu mwananguSiunajua, jinsi utafanya fanya mambo, Mtu uwezo kutoka niniSema ndio hivi, sometimes man, unakuta watu wengine, ndoto ndio maisha yao halisiUuhWritten by Webiro "Wakazi" WassiraProduced by John MahundiRecorded by Nelly Ze Model at Bantu RecordsMixed & Mastered by Mujwahuki at PushUp Studio. ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.