Moyo

INTRO:Yeah.. uughHahaha yooVERSE:ONEUuh Mwenzio kwako nimekufa/Ila ndio maskini so mi sina cha kukupa/Hivyo busu shavuni pengine kukugusa/Ndio njia pekee ya mimi kutoa rushwa/Acha mchicha, nataka nyama we ndio muuza bucha/Nioneshe kama una huruma, hebu nipe ruhusa/Hata ka kimapenzi bado nitakuwa kuruta/Niwie radhi, nipo tayari uuh, usiku kucha/Nani kasema mapenzi huimbwa kwa taratibu/Sikiliza ladhaa ya sumu, tamu Kama zabibu/Inakupa tabasamu, kicheko cha aibu/Ila mimi ni daktari, so nieleze yaliyokusibu/Nitokapo mimi, wewe ni bidhaa adimu/Inayoweza simamisha muda, na majira kila msimu/Ladha yako, kama maji ya ndimu/Changanya na sukari ila sio ice cream/Gharama ya salamu yako inazidi ile ya bili ya simu/Na kwa macho umeniita, na uhakika unachotaka kunieleza lazima kitakuwa muhimu/BRIDGE:Nikikugusa niguse, nachokupa nikupe, moyo wangu nao usherekee/Nitakuganda kama kupe, this a real life movie, baby girl see I will never throw your love away/hear me sayCHORUS:You should shut up and listen/If you let me have you, I'mo give you the business/Hayo mapenzi hebu nipe/But if it's not possible, niambie nikipe/VERSE: TWONajua habari zangu utakuwa umesikia/Ila hao wazushi tu wanao taka kukuingia/Mama skia, mimi sio Mbuzi fata mkia/Ntakupa vya kwangu huku vya kwako nikivipitia/Kwa, kila namna jaribu kukuridhisha/Ka, kusema "I love you" hadharani pata picha/Ila kwanza mpira nakupa kama golikipa/Ili ufanye uamuzi kabla mpira sijavaa, u dig that/Hakuna penzi, bila mawasiliano/It don't matter if you dark skinned, light or albino/We can compromise, but my decision is final/Conveying the messages through blackberry or iPhones/Mfano ulaya tutahamia, kama bongo hapafai/Au arabuni, kwenda kuendesha ngamia Dubai/Mbona unashtuka, kupanda ndege hujawahi/Mimi nimeshazoea pipa naona karai/Is this love I'm feeling, I don't know why it feels like I'm dream coz definitely I'm not high/Nakupa moyo kama vingine havifai/So you can turn your lights down low ma, Jah Rastafari/BRIDGE:Nikikugusa niguse, nachokupa nikupe, moyo wangu nao usharekee/Nitakuganda kama kupe, this a real life movie, baby girl see I will never throw your love away/hear me say nowCHORUS:You should shut up and listen/If you let me have you, I'mo give you the business/Hayo mapenzi hebu nipe/But if it's not possible, niambie nikipe/OUTROYeah you know how I feel about you babyYou know whatMoyo huu, take care of it rightYeah.. uuhWritten by Webiro "Wakazi" WassiraProduced by MujwahukiRecorded by Nelly Ze Model at Bantu Records.Mixed & Mastered by Mujwahuki at PushUp Studio ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.