Kwanini ft. Barakah The Prince

INTRO:Life is strange man, maisha ya ajabu sana...Unaweza ukakuta mtu anapanga budget ya pesa ambayo mfukoni haipoYeah yaani unakuta watu wanasemana semana sanaKuingilia maisha ya watu wengine, strange (very)Uuh.. Simatani (Brotha K), Barakah Da Prince, WakaziVERSE: ONESiku haiwezi kupita, bila sauti kusikika/Flani amefanya hiki, ilimradi tu visa/Kuweka mkazo kwenye mambo ya kipuuzi kwanini/Kusahau yale yote ambayo ya msingi/Yaani kila siku watu hawaishi kunisema/Haijalishi hata kama nikifanya jambo jema/Mambo mengine mpaka hadi nashindwa kuhema/Jinsi walimwengu ambavyo wana nisengenya/Mnachokula nyinyi, mimi hakinipeleki chooni/Na chooni mlango nina ufunga, hamnioni/Iweje upange bajeti na pesa isiyo mfukoni/Na kuingilia maisha ya wengine, kulikoni/CHORUS: (Barakah Da Prince)Kwanini imekuwa, Kwanini katusua, tatizo sijajua,Ila Mola ngazi yangu, ushindi imani yangu, mi sitochoka kupambanaKwanini imekuwa, Kwanini katusua, tatizo sijajua,Ila Mola ngazi yangu, ushindi imani yangu, mi sitachoka kupambanaVERSE: TWONi kipi kile kikusikitikishacho/Kuingilia ya wengine na kusahau ya kwako/Kitu gani, kwani kama mnene si mimi/Maana nikikonda bado mtanizushia ukimwi/So all you big girls, you go girls/Kuniridhisha sio lazma we uwe model/It's funny, wale ambao maisha yao ndo hovyo/Ndio hao hao ambao wanaoongoza kupiga domo/Anaendesha gari gani, mbona anapanda bajaji/Alizamia marekani au aliishi kihalali/Kila mtu kishageuka Hakimu mkazi/Kiupeo wamefungwa ila ndio wao wa kwanza kujaji/VERSE: THREENasoma gazeti, eti Hasheem amefukuzwa kwenye ligi/Na sheikh, amekula kitimoto siku ya iddi/Ya kusema hawana, ni kama inawabidi/Kuongelea ya wenzao ya kwao yamewazidi/Just wait until its yo turn/Lessons of life we all gon learn/Y'all been warned, when it all said and done/It's all about you and not no one/(Barakah Da Prince)I need freedom kama muimbaji wa Zambia/Niwe huru bila mtu kunibania/(Wakazi)Hizi ni Sauti za Freedom, Barakah, simatani, Wakazi/Kwanini haya mambo maishani/Written by Webiro "Wakazi" Wassira, Baraka A. Odiero, Kolumba Mwingira, Akili Msola.Produced by FreedomRecorded by No Future at Bantu Records.Mixed & Mastered by Mujwahuki at PushUp Studio.Barakah Da Prince appears courtesy of Bana Music. ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.