KWENYE MUZIKI

INTROEyoo, skia! Ukitaka fanya muziki, fanya muziki ambao una uhakika utasikiliza tena baada hata ya miaka ishirini acheni kufanya hizi bubble gum style. VerseKILA KONA RAS SINA WASI NATOA PASS MICHAKATO HARAKATIDILI ZIKITEMA GANJI SIO MAMANZI /NI WAKATI WA FAMILIA NA WAZAZINAKURUMIZA SAUTI TENA WAZI /NA KUWACHORA MA-WACKSINA KIBURI KAMANDA NIMEJIPANGA MBEGU UJASIRI NA PANDA HUKU NAKANYA MTAANI MAJANGA VISANGA POPOTE NAGANGA MJINI MPAKA SHAMBAMAGWANDA YASIKUPE DHARAU KUNA SANDAMATEJA MAPANGA KAHABA SHANGATIMBWILI MMOKO KAMA UTITIRIMNYONGE NIMSITIRI NA KUFANYA UFIKIRIUJINGA USUBIRI MICHONGO SISUBIRIMSHAHIRI NAKABILI NAKABILI BADO MIMI NIMEKITHIRI KAMWE SINA KIBURIDIMBWI LA MAJI KUMBUKA UNA KIUUJINGA MARADHI MAHADHI HARDCOREMPAMBANAJI UTANDAWAZI UNAVYO HARIBU KIZAZI... Check!Hook & chorus Tick tack breaker radio muziki wanaocheza wack 10*WASANII WAO WANAOWEKA WACKWANALEGEZA DEKEZA WACKKIUFUPI NAWACHORESHA WACKHATA SHOW ZAO ZA KI-WACKUKIWAONA WANAVYOVAA KI-WACKWANAVYOONGEA PAMOJA MA-WACKWAKIFANYA MAMBO YA KIWA-WACKWAENAENDELEZA MA-WACKVerseKUNA KUSHINDWA KUSHINDA NA KUSHINDUAUNATAKA HESHIMA ACHA KUZINGUAFANAKA MISINGI HEBU ZINGATIAVISA MIKASA ROOTS NA CULTURESTRUGGLE WANASAFA YOUTH NAWAASASIASA IMECHACHA GAVOO MASHAKAMAAFA NIKO STABLE KILA CYPHER NI MZALENDO MWENYE MWENENDO VITENDOKATIKA NCHI INAYOPENDA MAGENDO SKENDO VIFUNGO VITISHO(I'm real Mc) NA CONTROL INSTRUMENTAL B' FLEVA WENGI WANADHANIWAWAKIULIZWA ETI WANASINGIZIWATick tack breaker radio muziki.... I'M GHETTO DEFENDER MAKINI NA MUZIKI NAFANYA UHAKIKI UFANISI HALISI SIFANYI RAHISIGHETTO DEFENDER GHETTO DEFENDERMAKINI NA MUZIKI NAFANYA UHAKIKI UFANISI HALISI SIFANYI RAHISIGHETTO DEFENDER GHETTO DEFENDERHook & chorus Tick tack breaker radio muziki wanaocheza wack 10*WASANII WAO WANAOWEKA WACKWANALEGEZA DEKEZA WACKKIUFUPI NAWACHORESHA WACKHATA SHOW ZAO ZA KI-WACKUKIWAONA WANAVYOVAA KI-WACKWANAVYOONGEA PAMOJA MA-WACKWAKIFANYA MAMBO YA KIWA-WACKWAENAENDELEZA MA-WACKOutro:GHETTO DEFENDER.... ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.