Taa Ya Miguu Yangu

CHORUS:MWOKOZI YESU, TAA YA MIGUU YANGU *2YEYE NI BABA, TAA YA MIGUU YANGU.YEYE NI MUNGU, TAA YA MIGUU YANGU.VERSE 1:WACHA NIKUELEZE JUU YA UKOMBOZI WANGU, ANAITWA YESU NDIYE MWANA WA MUNGU.ALINIITA SIKU NYINGI SIKUMWELEWA, SIKUELEWA SAUTI YAKE BABA.NILIPOTEZA MUDA MWINGI KWA SHETANI , LAKINI YESU KANITOA KULE KUZIMUNA KUNING'AZIA NA NURU YAKE, NAMTUKUZA YEYE NIMEPATA YESU WA KWELI.CHORUS:MWOKOZI YESU, TAA YA MIGUU YANGU *2YEYE NI BABA, TAA YA MIGUU YANGU.YEYE NI MUNGU, TAA YA MIGUU YANGU.VERSE 2:AMENITOA KWENYE MATESO MENGI, AMENITOA KWENYE GEREZA LA DHAMBI.AMELIFUTA JINA LANGU KWENYE HUKUMU NA KULIANDIKA KATI YA WENYE HAKI.BILA MAKOSA KATOA UHAI WAKE, KWA KUWA YEYE ALINIPENDA KWANZA.ALINIFIA ILI NITENGWE NA SHETANI, KUPITIA WOKOVU WAKE YESU WA KWELI.CHORUS:MWOKOZI YESU, TAA YA MIGUU YANGU *2YEYE NI BABA, TAA YA MIGUU YANGU.YEYE NI MUNGU, TAA YA MIGUU YANGU.VERSE 3:NDUGU WAJUA PALE UNAPOOKOKA, UNAMNYANG'ANYA SHETANI MAISHA YAKONA MAISHA YAKO UNAMPA MUNGU, FANYA MAAMUZI HAYA MAZURI LEO.YUKO MLANGONI ANABISHA HODI, ANAKUITA AKUHITAJI WEWEMPE MAISHA YAKO AKUOKOEILI UURITHI UZIMA WA MILELEBRIDGE:MPOKEE SASA KWA KUWA ANAKUPENDA NA ANAKUHITAJI, ILI UWE HURU NA KUURITHI UZIMA WA MILELE, YESU NI MZURI, YESU ANAWEZA,SEMA EH YESU NISAMEHE DHAMBI ZANGU, UNIANDIKE MIMI KWENYE KITABU CHAKO CHA UZIMANA WEWE UWEZE KUANGAZA MAISHA YANGU, KWA KUWA WEWE NDIYE TAA YA MIGUU YANGU, AMEN.YEYE NI BABA, TAA YA MIGUU YANGU, YEYE NI MUNGU TAA YA MIGUU YANGU. ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.