Wewe

Verse 1: Naomba uskie yangu kauli, ndio maana mi nimekwita wewe,Nikwambie neno zuri, coz I have been blessed by this love eh,Moyo wangu uko kwako, kheri ya kutafuta, Ona tulipotoka, here we are even closerKwa macho yangu haitoshi, kukueleza navyohisi mimi,Mapenzi umenifunza ndio maana nimekwita weweeBridge: Upendo ndio kipimo na nazidisha leo,I want this to last baby nielewe mwenzio,Dhoruba za mapenzi zisituvunje moyo,Tulia nami wangu wa moyoChorus: Weweee (we ndio tulizo la moyo wangu) Wewe weweee (umezaliwa kwaajili yangu) x2Verse 2: Moyo wangu, moyo wangu mpaka unanipa kizunguzungu. My forever is with you, kwani penzi lako hunipoza,Kwetu kuacha mwiko, hivyo ikibidi kuzikana,Kwenye mapenzi tukwepe uadui, mbali tumetoka, hatutuiVerse Bridge: Upendo ndio kipimo na nazidisha leo,I want this to last baby nielewe mwenzio,Dhoruba za mapenzi zisituvunje moyo,Tulia nami wangu wa moyoChorus: Weweee (we ndio tulizo la moyo wangu) Wewe weweee (umezaliwa kwaajili yangu) x2Song Bridge: I love you baby oh Wanipa dekezoLet’s stay together, always forever Nipate tulizo (x2)*Repeat chorus ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.