Acha nikusifu ooh oohAcha nikuabudu oohKwa matendo yako. Nikulipe nini kwa matendo yako Nikitoe kitu gani cha thamani Baba Pendo lako kwangu ni la milele Umenikirimu Mungu wa mbinguni Baaba aah Nililia wakati mwingine Liko wapi tumaini la moyo wangu Nikayainua macho pasipo msaada Ukaniambia nisiogope uko pamoja nami Ukaniambia nisiogope uko pamoja nami CHORUS: Acha nikusifu Acha nikuabudu Kwa matendo yako Bwana wewe umenirehemu Umenitoa kwenye matope Nilipozama Bwana ukaniinua aah Pendo lako halisemeki Bwana Ukuu wako haufanani na chochote Unamuinua mnyonge toka mavumbini Unamketisha pamoja na wakuu uuuh CHORUS: Acha nikusifu ooh Acha nikuabudu Kwa matendo yako ... Read More...
Share