Upo Hapo

Verse 1:FA -Mipango baaba,baba sihitaji shida za waana mipango ya namba/ Mipango baaba,baba sihitaji shida za waana mipango ya namba/ Nanukia vizuri kama duka la perfume/ Usiniite muhuni huwezi pata harufu ya ndumu/ Hata beat sio kubum,kubam ya kibishoo/ Ila wana bado wakavu bishoo usilete hizoo/ Najua kona zote kama ufagio wa zamani/ Vichaka na chocho zote macho tu bila ramani/ Ni kudra na mwanadamu nazi haishindani na jiwe/ Lilopangwa liwe/ Buggy jeans swag sio ya miaka 17,we baba/(mzee baba)/ Unataka vita na Mafia/ Dili za mabilioni na bado tai huzioni/ Winning together,wanangu begani/ Utanipenda bob,wananiitaga mastermind/ Mipango kwangu inachipua haina end/ Uncle FA,FAscobar usilete uchimvi/ Navua gloves ila bado naupenda ugomvi/ Chorus:Upo hapo x4 Verse 2: AY- Hell Yeah kwa beat ya Hermy B/ Fareed,FA,AY Salu-te/ Mzuka umefufuka toka enzi za ECT/ Kikosi mstari wa mbele na nyuma haturudi/ Uh,kaa mkao wa kula kama ulivuna/ Pambana na hili shangwe lisije likakutafuna/ Tamani vyote ila chagua vya kumung'unya/ Damn...Make sure mfuko umetuna/ Kwenye giza mkononi mie nina tochi/ Kuna vikosi mikosi gozi gozi / Kamata wa pembeni yako upige bao/ Fanya yako usione hatari kama kuna wanga kibao/ Na MasterCard mfukoni / Nimenyuka pamba kimtoni/ Na sura ngumu kama stone/ Ukijichanga tu hauponi/ Biashara Asubuhi mpaka Asubuhi so jipange tu hommie/ Muchiri waambie aterere ndio nini/ Vibe liko juu kwanza mkeka haujachanika leo/ Tank liko full leo masinema si video/ El-Capo bado nipo nipo so nanyatia chipo chipo nisitoke draw UPO??/ Chorus:Upo hapo x 4 Verse 3:Fid Q Mie ndio yule, MJAMAA anayejua hadi anaboa/ Kilichofanya nikakua sio RAHA ya NDOA/ ni kuzitua TAMAA na NJAA kuitoa/ ninapoamua.. kukamua.. mnajua.. inakaa poa/ Niko tight kama CHABUNENE ndani ya SKINNY JEANZ/ hautaki kuja kati? MOONWALK kama BILLIE JEAN/ WAZEE dili ni nini?/ aisee mna akili nyinyi ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.