GOLDEN-HOHEHAHE

Mwalimu wa busara na hekima, ni mama mama yanguNa nguzo ya mjinga kaa kimya , usijibu katuNina macho naona si kupofuu,tena ulimi koma usithubutuNitende vipi? hata shubiri ikawa ikageuka tamuMi niimbe vipi? mi mkagulu ukitaka hata kizaramoSipigi kelele ni wewe engine ya moyoniNipege hat ndere kwa wewe sitoki hasirani nitavumilia tu...CHORUS Nitapiga goti na kuomba Wajua kwako mi mgonjwa Nimegundua we kidonda Nikitonesha nitajiponzaMi kwako (hohehahe, hohehahe)Mi kwako (hohehahe, hohehahe)VERSE 2Naimani hata leo au kesho mama utabadilikaaaSifosi unywe maji utanambia kiu ikishika eeeNiliapa wewe ni wangu ma ,mvua mafuriko hata njaawala sitokata tamaaNiko nae giza hata taahata taa hata chini nitalala, ndo nshapendaa niko radhi nitesekeBRIDGESipigi kelele ni wewe engine ya moyoniNipege hat ndere kwa wewe sitoki hasirani nitavumilia tu...CHORUSNitapiga goti na kuomba Wajua kwako mi mgonjwa Nimegundua we kidonda Nikitonesha nitajiponzaNi kwako (hohehahe, hohehahe)Mi kwako (hohehahe, hohehahe)VERSE 3Niliekupenda ni wewe (ni wewe , ni wewe)Tena ntazikwa na wewe ( na wewe , na wewe ee)Ukinuna nitajing'ata niongezee na libwata aahMi cd we ndo kasha eeh iye iye iyeeeCHORUSNitapiga gotiiii ( nakuombaa)Wajua kwako (mi mgonjwa)Nimegunguaa ( we kidondaaa)Nikitonyesha (ntajiponzaa)Mi kwako (hohehahe, hohehahe)Mi kwako (hohehahe, hohehahe)Hohehaheeeee hohehaeee hohehaeee iiiii(GOLDEN)it's yo favorate boy truename from this city ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.