Bakora Remix

Chorus:Mabishoo miNawachapa bakora, nawachapa bakoramademu Nao wanataka bakora, wanataka bakoraVerse: 1Kitu gani wakiniita wakishuaAu kisa ni kiingereza, yeah mimi nakijuaTena vizuri Tu, sio you know I'm sayinI can talk proper, and little bit SlangLike, shorty wazzhappenin, what's the demo?Ooh you got a man?! Shit I ain't get memoIla bongo siku hizi, Hainaga ushemejiManfongo, si uongo wa kizungu na kienyejisichagui wote ni sawa wote nyamaIla mimi ninachotaka ni wewe kuwa mamaYao, ona upande wao wamehamaNa Wao wamekuja hutu tuliposimama, wow!!Hawaridhiki na walichonachoIt's sad, inatabidi tu kula kwa machoKimuziki, Mwalimu mkuu, natembeza bakoraeven before sijawa Tu nominated na koraChorus:Mabishoo miNawachapa bakora, nawachapa bakoramademu Nao wanataka bakora, wanataka bakora Verse: 2Leo Mimi nimedhamiriaUkweli wote mimi kukwambiaIla ngoja, nilewe na nikisha kunywa beerNishai zote ziki nikimbiaI'm gon tell it like it is & what it should beNapenda mademu wembamba, Ila bado wana vishuziKatie, Sara, Grace, suzieI ain't a womanizer, hope mabinti sijawauziNikipita wanajiuliza who is he?Nikipiga Pamba wao huziita nyuziNinavyong'aa kama star kwenye movieready for commitment Ila "ndoa no", mvivuKwenye bahari ya mapenzi nimezamaNilichokuwa nataka ni wewe kuwa mamaGet the picture, tukitembea twatia foraShit is kinda funny kama Stan bakoraChorus:Mabishoo miNawachapa bakora, nawachapa bakoramademu Nao wanataka bakora, wanataka bakoraBridge:dada zao wanataka...... bakoradoze yao wanapata.......bakoraka mikasi mi nawakatapiga mitikasi, nikizipataVerse: 3Cheki navyong'aa, cheki navyong'aaKuanzia cheni, kidani, mpaka saaKila wakiniona wanapigwa na butwaaMara nyingine wananifananisha na mastaaYeah mastaa wa mtoni, nguo nazovaa Za mtoniNami nimeshawahi kukaa MamtoniHata bongo ghetto nalokaa ni ka mtoniStakishari, sio kwa Azizi Ally, mtoniMabishoo wa vitu vya kuazimaKushindana huwezi, home nna hazinaKila nikitokea nawazimaBila hela mfukoni, Mtu mzimanawachapa.... ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.