Verse 1Abudiwa bwana,tukuka bwanaheshimika bwana,tukuka milelewewe ni mungu hakuna kama wewebwana ,unayotenda hakuna mwingineawezaye tenda,unarudishia watu miaka yao,waliopotezaunarudishia watu miaka yao iliyoliwa na nzigeulimrudishia ayubu miaka yote aliopotezamali yake watoto wote bwana ulirudishatena mara dufu,bwana ulirudisha,nami najua nitarudishiwamiaka yangu nitarudishiwa,iliyoliwa na nzige,nitarudishaeeeeieee miaka yangu,iliyoliwa na nzige,chorusnarudisha narudishamiaka yangu,iliyoliwa na nzige,narudisha kwa jina la yesumiaka yangu,iliyoliwa na nzige,narudisha kwa jina la yesuverse 2nzige wamekula amani ya wenginzige wameharibu afya ya wengi mnoangalia imebaki mifupa mikavutazama imebaki mifupa mikavulakini kuna tumaini bwana atarudisha,amani itarudishwa,afya itarudishwabiashara itarudishwa,furaha inarudishwawaliopakwa matope,bwana anasafishawalioshushwa chini,bwana anainuaata mti ukikatwa,utachipuka tenawaliopoteza maono yao,jipe moyobwana anarudisha,kwa jina la yesuchorusnarudisha narudishamiaka yangu,iliyoliwa na nzige,narudisha kwa jina la yesumiaka yangu,iliyoliwa na nzige,narudisha kwa jina la yesu ... Read More...
Share