Mikasi

Ni asubuhi ninaamka ninapiga mswakiKisha naenda kubath kuweka mwili safiNarudi ghetto nafungua kabatiNachukua pamba bling bling kwa chatiNa t-shirt ya black na jeans ya khakiNa chini nina simple white tisha za NikeKisha mzee najipulizia marashiNanukia safiNiko na machizi wa Chambers Squad na DarkyTunawapigia simu Rich Coast wako wapiTunakutana mitaa ya Chaga BiteAsubuhi tunapata zetu supu kwa chapatiNa mitungi ya kupotezea wakatiUkitaka fegi mezani kuna paktiIwe Sport au SM au EmbassyHapa utakula raha mpaka mwenyewe utasema basiTunakamua mpaka ile mida ya lanchiTunaagiza ugali mkubwa na samakiMakamuzi yanaendelea mpaka nightyWatu wanaingia Graveyard kwanza kupata nyasiTunarudi kila mmoja anajisachiNi kiasi gani mfukoni kilichobakiKujicheki mi nina kama lakiNikawaambia machizi kinachofuata mikasiMitungi, blanti, mikasiKama ukitaka kuvinjari nasiBasi mfukoni mwako nawe uwe safiMitungi, blanti, mikasiKama ukitaka kuvinjari nasiBasi mfukoni mwako nawe uwe safiKulewa tushalewa kilichobaki mikasiWashikaji milupo tutapata wapi?Milupo labda mitaa ya katiso tunaenda vipi kwa miguu au kwa basi?Usiku huu bora tuchukue taxiPoa basi tusipoteze wakatiKs ks naita taxiNjoo utupeleke mitaa ya katiTukacheki midudu ya kupiga mikasiTuelewane kabisa itatucost shilingi ngapi?(Buku nne tuu) Aah wapi!Kwani hapa na pale ni umbali wa hatua ngapi?(Si mnacheki wenyewe mko wangapi?)Usimind sana babake tuko safiTuchangeni tusipoteze wakatiLudi eh kwani we una shilingi ngapi?(buku tano) Venture? (bati)Sasa wewe una bati usiku huu unaenda wapiWakati hiyo bati hata soda tuu hupatiBora uweke kesho unywee chai na chapatiAsiye na kitu mi naona bora akabakiTusije mbele tukashikana mashatiSuka eh! tuanzie MasakiMchizi kapiga simu yani kuna bonge la partyMitungi, blanti, mikasiKama ukitaka kuvinjari nasiBasi mfukoni mwako nawe uwe safiMitungi, blanti, mikasiKama ukitaka kuvinjari nasiBasi mfukoni mwako nawe uwe safiDereva funga brake tushafika kwenye partyEeeh bwana eh kumbe bonge la partyCheki mademu kibao utadhani kitchen partyDuh! cheki lile anti lililovaa skintightEe bwana eh! liko safiSio mchezo babake unaweza ukahonga lakiAah wapi! mtu kama mi hanipatiUsawa wenyewe huu wa kulenga kwa manatiHaya basi tujichanganye katikatiTukacheki mitungi na mademu wa mikasiOh yeah, braza mwenye black unaitwa na yule anti'Yuko wapi?' Yule aliyevaa suti ya kakiAunty vipi?Aah safi. Samahani kwa kukupotezea wakatiNilikuwa naomba tuwe wote kwenye partyAu unasemaje? (Mi naona safi)Samahani wewe anti ambaye umevaa shatiHivi unaitwa nani eh? naitwa BahatiHivi Aunty nishawahi kukuona wapi?Acha longolongo we sema una shilingi ngapiOyaa we'e vipi? mpango wako vipi?Mbona mi mazee mpango wangu safiIshakuwa usiku twenzetu tukachukue taxi(Aha) Twenzetu tukapige mikasiMitungi, blanti, mikasiKama ukitaka kuvinjari nasiBasi mfukoni mwako nawe uwe safiMitungi, blanti, mikasiKama ukitaka kuvinjari nasiBasi mfukoni mwako nawe uwe safiYeah, yeah, yeah, yeah East Zu yo! hollerBongo recordsNgwairEe bwana ehNiko around mazee ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.