INAWEZEKANA

intro inawezekana. "Kuwa kitu kimoja"inawezekana. "inawezekana"inawezekana. uuuhhhh.. ...VERSE 1Chuki na majungu/jamani zitatudhuru/Na tukae na undugu/ amani na uhuru//Tusibaguane kwa mafungu/ tutakua tunakufuru/Tushikamane ndio nguvu/ Mwenyezi ataleta Nuru// ifukuze Giza la uchochezi/ Giza la ubaguzi/Giza la ufisadi/ ilete baraka kwetu//imulike Mwangaza wa amani/Mwangaza wa ujirani/ Mwangaza wa imani/ilete baraka kwetu//CHORUS kushindana bila kuzozana/ inawezekana//kubishana bila kukosana/ inawezekana//Siasa bila chuki/ inaweza//Kuambiana bila matusi/ inaweza/Kukosoana bila ngumi/ inaweza/Kueka kando tofauti/inaweza//VERSE 2Naelewa hali ilivyo ni shida/Mi mwenyewe hapa nlipo sijashiba/Bills nazo sijalipa,Majukumu nakuna kichwa// ilaaa...Njaa yetu/ isiwe kama sababu/Ya mimi na wewe kutumika vibaya/Uelewe kwamba vita ni mbaya//Tulivionja kwa mbali, yani tulisumbuka/Uchungu ulivyokua mkali,sitaki kukumbuka//Samahani Nisikukumbushe ya zamani/Si tudumishe amani/Hapa ndio nyumbani/Tusijiweke mashakani//CHORUS ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.