INTRO (Asteria Mvungi, Mims)Majani, BongolosHOOK (Msamiati, Drew Elly)Wape (wape), wape (wape,) wapee (wapee) wape (wape), wape (wape), wape (wape), wape.VERSE 1 (Drew Elly)Ma Dj si mnapendaga,Kuweka ngoma turuke kwanjaa,Wauza mitumba mtupe pamba,Tulipuke twende viwanja.Mwanasiasa vipi kuna kipya,Bodaboda nao wale vichwa,Hiyo mikopo wapewe na maticha,Mwanasheria haki yangu isije zikwa.PRE HOOK (Drew Elly)Zingi zingi tunazinga,Snitch pimbi kula mita,Kama mpinzani tu utanipinga,No mizengo hatuja pinda.HOOK (Msamiati, Drew Elly)Wape (wape), wape (wape,) wapee (wapee) wape (wape), wape (wape), wape (wape), wape.Wape (wape), wape (wape,) wapee (wapee) wape (wape), wape (wape), wape (wape), wape.VERSE 2 (Tamu)Ma presenter mtupe burudani,Na vipindi bomba sio utani,Makamanda nao tupe amani,Hayo majipu yote weka ndani.Professor nae atupe lecture,Kama denti nae apate desa,Walokole kanisani wana kesha,Mkulima omba iweze nyesha.PRE HOOK (Tamu)Zingi zingi tunazinga,Snitch pimbi kula mita,Kama mpinzani tu utanipinga,No mizengo hatuja pinda.HOOK (Msamiati, Drew Elly)Wape (wape), wape (wape,) wapee (wapee) wape (wape), wape (wape), wape (wape), wape.Wape (wape), wape (wape,) wapee (wapee) wape (wape), wape (wape), wape (wape), wape.VERSE 3 (Drew Elly)Bar medi wape bia club,Sio unaringa utatikisa unajifanya dada duu,Waliopotea mfate njia kwangu,Na huyu kigoli wa kitanga katoka na khanga tuu.Hakuna ngumu, yani humu, hazihusu ,Jela ndondo na nguna no kuku,Kata hangover tafuta supu,Demu mkali kwenye show nitashuka kumpa busu.PRE HOOK (Drew Elly)Zingi zingi tunazinga,Snitch pimbi kula mita,Kama mpinzani tu utanipinga,No mizengo hatuja pinda.HOOK (Msamiati, Drew Elly)Wape (wape), wape (wape,) wapee (wapee) wape (wape), wape (wape), wape (wape), wape.Wape (wape), wape (wape,) wapee (wapee) wape (wape), wape (wape), wape (wape), wape.BRIDGE (Drew Elly)Mababy malizana nao,Ukiwa mshamba tu unapigwa bao,Sambamba tukwenda nao,Namkwanja tunachuma nao.PRE HOOK (Drew Elly)Zingi zingi tunazinga,Snitch pimbi kula mita,Kama mpinzani tu utanipinga,No mizengo hatuja pinda. ...
Read More...
or login using your social media account
or login using your social media account
Share