SALAMU

Verse 1Sawa Siwezi Kuwa Na wewe, Ila Moyoni Mwangu mi Utabaki Unaishi,Sawa Siwezi Kukuona Tena Ila Maisha Yangu mi, Umeondoka nayo,Kukicha Ninaiona Jana,Taswira Ya Kupendwa Sana Nimebakia Nayo,Kupenda kulinichanganya, Nikafaga na Moyo Bhana Nikafanya Yasiyo,Bridge,Wala Siombi Msamaha BabiiKwasababu Nataka Kurudiana NaweIla mpenzi, honey unisameheKwasababu mi nilikuchezeaChorusHizi Ni Salamu (Aleee, Aleee)Popote Uliko Naomba zipokee (Alee Alee)Umenifunza mengiHizi Ni Salamu Kokote UlikoNaomba zipokeeUmenifunza mengiAaah X, Aah X , Aah Verse 2Nimekubali Mapenzi Ya Dhati huja Pale Unapomkosa Mtu,Yaani Dharau na wivu Mpenzi Vilikuchosha Ukaona Bora Uende,Wala Siwezi Kusema Uliyoyafanya Mi Sikuyaona,Basi Madeko Ya Kitoto,Ninatamani iwe zamani, ila haiwezekaniKutawanya Kheri Imenicost Ooh,Bridge,Wala Siombi Msamaha BabiiKwasababu Nataka Kurudiana NaweIla mpenzi, honey, unisameheKwasababu mi nilikuchezeaOh babiiChorusHizi Ni Salamu (Aleee, Aleee)Popote Uliko Naomba Uzipokee (Alee Alee)Umenifunza mengiHizi Ni Salamu Kokote UlikoNaomba UzipokeeUmenifunza mengiAaah X, Aah X , Aah ...
Read More...Welcome to Mkito.com's new look. Let us show you around...
This is a song. You can see the image, song name, artists and you can interact with it by previewing, downloading or sharing it with your friends.
To listen to a 30 second preview of any song, you can click the preview button under the name of the song.
To share a song with friends, you can click this share button and choose from the share options
If you want to go through all the artists we have here on Mkito, you can click here to browse through our artists lists.
To look through our music by genre, you can click here and select a genre of your choice.
To download a song,you can click on the download button of the song you like. You must be logged in to download a song.
If you have an account with Mkito, you can sign in by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your login method.
To use your email address or phone number to log in, click this button.
Enter your details and click the button to log in.
Or create a new account here
If you don't have an account with Mkito, you can sign up by clicking this link, which will open a popup window.
From here, you can select your signup method.
To use your email address or phone number, click this button,which will take you to the registration form.
To register as an artist, click here.
Or you can use your Facebook, Twitter or Google Accounts to sign in.